Nitafanyaje jaribio la TASC?

Kiingereza piaKiingereza hakuna

Je! Ninachukuaje mtihani wa TASC? Je! Ninahitaji kujua nini? Hapa kuna zana na habari unayohitaji kuchukua na kupitisha mtihani wa GED®.

How do I take the TASC test? What do I need to know? Here are the tools and information you need to take and pass the TASC test.

How do I take the TASC test? Find out how.
Image courtesy of TASCtest.com

How do I take the TASC test? Find out how.
Image courtesy of TASCtest.com

Hapa kuna hatua 10 za kujitayarishia jaribio lako.

Here are 10 steps to help you get ready to take the TASC test.

1. Hakikisha kuwa hili ndilo jaribio bora katika jimbo lako

1. Make sure this is the best test for your state

Baadhi ya majimbo hupeana jaribio zingine badala ya TASC. Wanaweza kupeana GED au HiSET. Majimbo mengi hukupa fursa ya kuchagua. Tambua ikiwa jaribio la TASC hupeanywa katika jimbo lako:

Some states offer another test instead of TASC. They may offer GED® or HiSET™. Many states offer a choice. Find out here if the TASC test is offered in your state:

Table of HSE tests state by state updated 2019

Table of HSE tests state by state updated 2019

Maelezo hayo ni ya kukusaidia kuelewa ni jaribio gani ambalo hupeanwa katika jimbo lako. Maelezo haya ni ya jumla na yanaweza kubadilika. Unafaa kuangalia katika jimbo lako ili kuona ni jaribio gani wanaolikubali kabla ya kujiandikisha.
This information is to help you understand which test your state offers. This information is general and might change. You should check with your state to see which test they accept before registering for any test.

2. Angalia ikiwa umehitimu kufanya jaribio la TASC

2. Check that you are eligible to take the TASC test

Kwa kawaida utakuwa umehitimu kufanya jaribio la TASC ikiwa una umri wa miaka 16 au zaidi na haujahitimu shule ya sekondari katika Marekani. Katika baadhi ya majimbo utaulizwa kwenda katika darasa za kujitayarishia jaribio. Majimbo mengine huwaruhusu wenyeji pekee kufanya jaribio. Pata kujua kinachohitaji katika jaribio la TASC katika jimbo lako .

You will usually be eligible to take the TASC test if you are 16 years of age or older and you are not enrolled in or graduated from a US high school. Some states ask that you attend test preparation classes. Other states only allow residents to take the test. You can find the TASC test requirements in your state.

3. Jifunza kuhusu jaribio la TASC

3. Learn about the TASC test

Jua ni nini unachotarajia unapofanya jaribio – ni maarifa gani unahitaji na aina gani ya maswali utakayoulizwa: Je! kuna nini katika jaribio la TASC?

Find out what to expect when you take the test – what knowledge you need and the kind of questions you will be asked: You need to know what’s on the TASC test.

4. Soma ili ufanye jaribio la TASC

4. Study to take the TASC test

Hauwezi kuchukua mtihani wa TASC mkondoni, lakini unaweza kuwa tayari kwa mkondoni. Darasa letu la bure mkondoni na majaribio ya bure ya mkondoni yatakusaidia.

You cannot take the TASC test online, but you can get ready for it online. Our free online class and free online practice tests will help you.

5. Andikisha akaunti katika mtandao

5. Register for an online account

Utahitaji kuandikisha akaunti yako katika mtandao kwenye TASC test state Portal Katika majimbo mengi wanahitaji uwe na akaunti ili uweze kutafuta kituo cha kufanyia jaribio au uratibu na kulipa ada ya jaribio. Unaweza kuandikisha akaunti wakati wowote – si lazima ungoje mpaka uwe tayari kufanya jaribio. Utaweza pia kutanzama matokeo yako na alama za jaribio katika tovuti hio.

You will need to register for an online account with your TASC test state portal. Many states require you to have an account so you can find a testing site or schedule and pay for your test. You can create your account at any time – you don’t have to wait until you are ready to take your test. You will also be able to view your test results and scores there.

Wakati wa usajili wako katika TASC portal, utahitaji kutoa maelezo, lakini hutahitaji kulipa mpaka utakapokuwa tayari kufanya uteuzi wa jaribio.Bonyeza hapa ili kupata mwelekezo wa kujiandikisha katika jaribio la TASC

During your registration with your state TASC portal, you will need to provide information, but you will not need to pay until you are ready to make a test appointment. You can read the directions to register for the TASC test.

6. Tafuta kituo cha jaribio

6. Find a testing site

Nitafanyaje jaribio la TASC? Hauwezi kufanya jaribio katika mtandao. Lazima ufanye jaribio wewe binafsi katika kituo cha jaribio. Kutafuta kituo cha kufanyia jaribio katika portal ya jimbo lako .

You cannot take the test online. You must take the test in person at a testing site. Find a testing site at your state portal.

7. Ratibu na ulipe ili ufanye jaribio la TASC

7. Schedule and pay to take the TASC test

Wakati uko tayari kufanya jaribio la TASC, unaweza kuratibu uteuzi katika portal ya jimbo lako.

Once you are ready to take the TASC test, you can schedule your test appointment in your state portal.

Unaweza kufanya kila sehemu ya jaribio katika siku tofauti. Amua jaribio la kwanza au jaribio ungependa kufanya. Kisha chagua mahali, tarehe na wakati wa kufanya jaribio. Ikiwa unataka kufanya jaribio zote kwa siku moja, ratiba jaribio zako ili uweze kuwa na mapumziko. Jaribio lote huchukua muda wa masaa7 na dakika 30.

You can take each part of the test on different days. Decide the first test or tests you want to take. Then choose the location and date and time. If you want to take all the tests in one day, schedule your tests so you can have breaks. The entire test takes 7 hours 30 minutes.

Utalipa ada ili kuratibu jaribio. Malipo msingi ya jaribio zote 5 za TASC ni $ 54.00. Hii haijumuishi malipo ya ziada ya jimbo. Ada ya majimbo hutofautiana kati ya 0 hadi $100. Pata kujua ada inayolipisha katika kila jimbo . Unaweza kulipia jaribio moja kwa wakati unapoziratibu.

You will have to pay a fee to schedule the test. The TASC test base price is $54.00 for all five subtests. It does not include the state charges. The states’ fees vary from zero to $100. Find the fees charged in your state portal. You can pay for one test at a time as you schedule them.

8. Endelea kufanya jaribio za mazoezi

8. Keep taking practice tests

Kabla ya kufanya jaribio halisi, fanya mazoezi uwezavyo ukitumia vifaa vya TASC prep na ufanye mazoezi ya jaribio ya RCO. Fanya mazoezi ya muundo wa maswali na maagizo ambayo utaona kwenye jaribio. Baadhi ya maeneo hupeana jaribio kwenye kompyuta, wengine kwenye karatasi na wengine hupeana chaguo zote mbili.

Before you take the real test, practice as much as you can with the free TASC prep materials and with USAHello practice test. Practice the question formats and instructions that you will see on the test. Some test sites offer the test on computer, others offer the test on paper, and some offer both.

Ikiwa utafanya jaribio kwenye kompyuta, ni lazima ujizoeshe kutumia vifaa ambavyo utapata katika jaribio. Unaweza kufanya mazoezi ya vifaa vya mafunzo vya TASC katika mtandao. Pia, tanzama video hii ambayo huelezea jinsi ya kufanya jaribio la TASC kwenye kompyuta. Unaweza kuamua kufanya mazoezi katika eneo lako ya jaribio ukitumia kompyuta halisi, kipanya na kibodi ambazo utatumia kufanya jaribio.

If you are taking the test on a computer, you must get comfortable using the tools you will find in the test. You can practice the TASC online tools training. You may decide to practice at your test site with the actual computer, mouse and keyboard you will use in the test.

Au, unaweza kuamua unapendelea kufanya jaribio kwenye karatasi. Tumia maswali ya mazoezi rasmi kufanya mazoezi ya kujibu maswali ya TASC kwenye karatasi.

Or you may decide you prefer the paper test. Use the official practice questions to practice answering TASC questions on paper.

Endelea kutumia kifaa cha jaribio la mazoezi ya bure ya RCO! Jaribio hizo za mazoezi zitahakikisha uko tayari katika siku ya jaribio. Na, matokeo yako yatakuonyesha kama uko tayari kufanya jaribio.

At your test site, you can also take the TASC test readiness assessment. Keep using the free USAHello practice tests too! These practice tests will make sure you are prepared on test day. And, your results will show you if you are ready to take the test.

9. Jitayarishie siku ya jaribio

9. Get ready for test day

Nitafanyaje jaribio la TASC? Hapa kuna baadhi ya vidokezo vya kukusaidia kufaulu katika siku ya jaribio:

How do I take the TASC test? Here are some tips to help you succeed on test day:

 • Tafuta nini kwenye jaribio la TASC
 • Tembelea kituo cha jaribio kabla ya siku ya jaribio ili usije ukakitafuta mara ya kwanza katika siku ya jaribio. Ukiwa hapo, katika kituo cha jaribio, uliza kuhusu sheria zao na maelezo yoyote ambayo ungependa kujua.
 • Hakikisha umepata usingizi vizuri kabla ya kuamkia siku ya kufanya jaribio. Usiende ukiwa umechoka, na ukihisi kiu au njaa. Hautaruhusiwa kubeba chakula au vinywaji katika chumba cha jaribio.
 • Usibebe vitu vingi, kwa sababu bidhaa za mtu binafsi haziruhusiwi katika chumba cha jaribio. Lakini beba kitambulisho chako – pasipoti, cheti cha kuendesha gari, au kitambulisho chochote ambacho umepewa na serekali. Angalia matakwa ya kupata kitambulisho katika jimbo lako.
 • Ikiwa unafanya jaribio la hesabu ya karatasi, utahitaji kubeba kikokotoo cha mkono. Hii ni orodha ya vikokotoo vinavyoidhinishwa Ikiwa unafanya jaribio la hesabu ya karatasi, kikokotoo kitakuwa kwenye skrini. Hili ndilo karatasi la maagizo ya kikokotoo cha mtandao.
 • Hautaruhusiwa kubeba karatasi yako lakini utapewa karatasi ya kuandikia. Pia utapewa penseli na kifutio.
 • Hauruhusiwi kubeba mto au vifaa vya maskio!
 • Fika katika kituo cha jaribio dakika 30 mapema ili uweze kukikagua na hata kutulia. Ingia msalani kwa sababu hakuna mapumziko isipokuwa wakati wa jaribio la hesabu.
 • Ikiwa una maswali au matatizo wakati wa jaribio, inua mkono wako.
 • Find out what’s on the TASC test
 • Make a practice trip to your testing site so you do not have to find it for the first time on test day. While you are there, check with the testing site to ask for their rules and any other information you may need.
 • Make sure you get a good night’s sleep before your test. Do not arrive tired, thirsty, or hungry. You won’t be allowed to bring food or drinks into the testing room.
 • Don’t take a lot of things with you, as personal items are not allowed in the testing room. But do bring your ID – a passport, driver’s license, or other government-issued ID. Check your state’s ID requirements.
 • If you’re taking the math or science test on paper, you will need to bring a calculator. Here is the list of approved calculators. If you’re taking the computer-delivered math test, the calculator will be on-screen.
 • You won’t be allowed to bring your own paper but you will be given paper for making notes. You will also be given pencils and erasers.
 • You are allowed to bring a cushion and earplugs!
 • Arrive at least 30 minutes early at the test center so you can check in and get settled. Use the bathroom as there are no breaks except in the math test.
 • If you have questions or problems during the test, raise your hand.

10. Baada ya jaribio

10. After the test

Alama za juu unazoweza kupata katika jaribio ni 800 (katika kiwango cha 300 hadi 800). Kiwango cha chini cha alama ili kufaulu ni:

The highest possible score for each test is 800 (on a scale of 300 to 800). The minimum passing scores are:

• Kusoma 500

• Reading 500

• Hesabu 500
• Mathematics 500
• Sayansi 500
• Science 500
• Masomo ya jamii 500
• Social Studies 500
• Kuandika 500 kuongezea angalau alama 2 kati ya kila alama 8 katika insha

• Writing 500 plus at least 2 out of 8 possible points on the essay

Ikifaulu mada zote tano, utakuwa umefaulu jaribio la TASC kwa jumla.

When you pass all five subtests, you have passed the TASC test overall.

Ikiwa hautafaulu katika jaribio moja au nyingi, unaweza kufanya tena jaribio mbili bila malipo, ikiwa umemaliza jaribio zote za TASC. Kurudia jaribio zaidi ya mara mbili kutagharimu $10.40 kuongezea malipo yoyote ambayo jimbo lako hulipisha. Angalia katika kituo chako cha jaribio or katika portal ya jimbo lako ili kujua ni siku ngapi utahitaji kusubiri kabla ya kurudia jaribio.

If you do not pass one or more of the subtests, you can take up to two free subtests again, once you have completed all the TASC subtests. Subtests beyond the second retake will cost $10.40 each, plus whatever your state charges. Check with your testing site or on you state portal to find out how many days you will have to wait before retaking test.

Nambari ya simu ya mteja wa TASC: (888) 282-0589

The TASC customer support phone number is (888) 282-0589.

Kila la Kheri!

Good luck!

Jifunze zaidi

Learn more

Rasilimali zingine

Other resources

Finish school and earn your GED®

Free online GED® preparation course

Kumaliza elimu yako

Ukurasa huu alimsaidia wewe? Uso Unaocheka Ndio Frown uso La
Asante kwa maoni yako!