Jifunza Kingereza cha kazini online katika Kingereza cha Ulimwengu

Two women having a conversation - learn English online

Unahitaji kujifunza Kingereza? Waweza kujifundisha katika USAHello na Kingereza cha Ulimwengu. Waweza kuchukua madarasa bure.

Kuhusu Kingereza cha Ulimwengu

Madarasa ya Kingereza cha Ulimwengu yana fundisha Kingereza aina ya kutumia kazini. Ukijuwa kuandika, kuzungumza na kufahamu Kingereza cha kutumika kazini itakusaidia kufanya kazi kwa vizuri. Waweza kujifunza nyumbani kwa njia ya online na ni bure ukijiandikisha katika USAHello. Waweza kuchukua madarasa saa yeyote mpaka mwezi wa Januari 2020.

Kazi nyingi watu watumi Kingereza cha kislang na nahau. Nahau ni maneno ambayo maana ni tafauti na maneno menyewe. Kwa mfano, mtu akisema “navunja barafu” na mfanya kazi mpya, hawapigi barafu haswa. Maana ni kwamba anaanza mazungumzo na mtu mpya kumsaidia kuondosha haya na wasi wasi. Ukijuwa kutumia Kingereza cha kazini utafaulu.

Kingereza cha Ulimwengu ina madarasa kwa kila aina ya uhodari. Ukishajiandikisha, utafanya mtihani kugundua darasa gani itakufaa. Kisha utaanza darasa lako kuongeza uhodari wako wa Kingereza! Madarasa yanatumia video, mitihani, masomo ya kusikiza na mazoezi ya kuzungumza. Utajifunza sarufi na maneno mapya.

Mshumbi wa Lugha

Waweza kuchukua madarasa ya Kingereza cha Ulimwengu kwa lugha hizi:

  • Kingereza
  • Kispaniol (LAM)
  • Kispaniol (Spain)
  • Kireno (Brazil)
  • Kifaransa
  • Kitaliani
  • Kigermani
  • Kichina(cha sasa)
  • Kichina (cha zamani)
  • Kijapani

Watongeza lugha nyingine karibuni.

Anza hivi

Kujiandikisha, tuletea barua pepe kwa anwani ya info@usahello.org. Tafadhali tuletea jina lako, ama waweza kutengeza jina la mtumizi. Ukitengeza jina la mtumizi ambalo linatumika na mtu mwingine, tutakwambia kutengeza lingine.

Jifunze kwa furaha!

Rasilimali zaidi za darasa kutoka Kituo cha Wakimbizi Online

Finish school and earn your GED®

Free online GED® preparation course

Finish your education