Fanya jaribio la GED

Kiingereza piaKiingereza hakuna

Je! Ninachukuaje mtihani wa GED ®? Je! Ninahitaji kujua nini kuhusu kuchukua mtihani wa GED ®? Hapa kuna zana na habari unayohitaji kuchukua na kupitisha mtihani wa GED®.

How do I take the GED® test? What do I need to know about taking the GED® test? Here are the tools and information you need to take and pass the GED® test.

Fanya jaribio la GED

take the GED test

Hizi ni baadhi ya hatua 10 za kujitayarishia jaribio.

Here are 10 steps to help you get ready to take the GED® test.

1. Hakikisha kuwa hili ndilo jaribio bora katika jimbo lako

1. Make sure this is the best test for your state

Baadhi ya majimbo hutoa jaribio lingine badala ya GED. Wanaweza kutoa HiSET™ ama TASC. Majimbo mengi hutoa pendekezo lao. Tambua ikiwa jimbo lako linatoa jaribio la GED hapa:

Some states offer another test instead of GED®. They may offer HiSET™ or TASC. Many states offer a choice. Find out here if the GED® test is offered in your state:

Table of HSE tests state by state updated 2019

Table of HSE tests state by state updated 2019

2. Angalia kama umehitimu

2. Check that you are eligible

Kwa kawaida utakuwa umehitimu kufanya jaribio la GED ikiwa uko na umri wa miaka 18 au zaidi na haujahitimu kiwango cha shule ya upili katika U.S. Wakati mwingine, unaweza kufanya jaribio ikiwa uko na umri wa miaka 16 au 17. Katika baadhi ya majimbo utaulizwa kwenda darasani ili kujitayarishia jaribio. Majimbo mengine huwaruhusu wakazi pekee kufanya jaribio. Jua mahitaji ya jaribio ya GED katika jimbo lako

You will usually be eligible to take the GED® test if you are 18 years of age or older and have not graduated from a US high school. In some cases, you may be able to take the test if you are 16 or 17. Some states ask that you attend test preparation classes. Other states only allow residents to take the test. You can find the GED® test requirements in your state.

3. Jifunze kuhusu jaribio la GED

3. Learn about the GED® test

Jua unachotarajia unapofanya jaribio – Ujuzi unaohitaji na aina ya maswali utakayoulizwa: Jaribio la GED linahusu nini?

Find out what to expect when you take the test – what knowledge you need and the kind of questions you will be asked. You need to know what’s on the GED® test.

4. Jitayarishie jaribio

4. Study for your test

Hauwezi kuchukua mtihani wa GED ® mkondoni, lakini unaweza kuwa tayari kwa mkondoni. Fanya zoezi letu ya jaribio la bure katika mtandao. Anza masomo yetu ya bure ya mtandaoni

You cannot take the GED® test online, but you can get ready for it online. Our free online class and free online practice tests will help you.

5. Tafuta kituo cha jaribio

5. Find a testing center

Hauwezi kufanya jaribio katika mtandao. Ni LAZIMA ufanye jaribio wewe binafsi katika kituo cha jaribio. Tafuta kituo cha kufanyia jaribio sasa au baada ya kujiandikisha.

You cannot take the test online. You MUST take the test in person at a testing center. Find a testing center now or after you register.

6. Andikisha akaunti katika ged.com

6. Register for an account at ged.com

Ili kuteuliwa kufanya jaribio, ni lazima uandikishe akaunti katika mtandao katika ged.com. Unaweza kuandikisha akaunti yako wakati wowote – hauhitaji kungoja hadi wakati utakuwa tayari kufanya jaribio. Akaunti yako inaitwa MyGED.

To make a test appointment, you must create an online account at ged.com. You can create your account at any time – you don’t have to wait until you are ready to take your test. Your account is called MyGED.

Wakati unapojiandikisha katika ged.com, utajibu maswali (jina lako, anwani, elimu, nk.) lakini hauhitajiki kulipa hadi wakati uko tayari kuteuliwa kufanya jaribio.

During your registration with ged.com, you will have to answer questions (your name, address, education, etc.) but you will not need to pay until you are ready to make a test appointment.

7. Ratiba na kulipia jaribio

7. Schedule and pay for your tests

Ukishakuwa tayari, unaweza kutumia tovuti ya ged.com ili kutuma maombi ili kuteuliwa ufanye jaribio. Unaweza kufanya kila sehemu ya jaribio katika siku mbalimbali. Lakini unahitaji kufanya jaribio zote nne katika muda wa miaka miwili ili uweze kupata diploma yako ya GED.

When you are ready, you can use the ged.com website to make an appointment to take the test. You can take each part of the test on different days, but you will need to take all four tests within a two-year period to get your GED® diploma.

Amua jaribio la kwanza au jaribio ungependa kufanya. Kisha chagua eneo na siku na wakati wa kufanya jaribio. Ukichagua kufanya jaribio mbili wakati mmoja, utapewa pumziko la dakika kumi kabla ya kufanya jaribio la pili. Huo sio muda mrefu. Ukihitaji muda zaidi hakikisha umeratibu jaribio wakati tofauti – Unaweza kuchagua kufanya jaribio siku moja, lakini unaweza kuchagua masaa yanayokuwezesha kuwa na pumziko ndefu.

Decide the first test or tests you want to take. Then choose the location and date and time. If you schedule two tests at the same time, you will only get a 10-minute break between them. That is not very long. If you want more time, be sure to schedule your tests separately – you can still choose the same day, but you can choose times that allow for a longer break.

Ikiwa ungependa kufanya jaribio zote katika siku moja, tanzama jinsi ya kuratibu jaribio ili uweze kupata pumziko wakati wa chakula cha mchana.

If you want to take all the tests in one day, look at how to schedule your tests so you can have a lunch break.

Kisha, utalipa ada ili kuratibu jaribio. Inatofautiana kutoka jimbo hadi jimbo, lakini ni karibu $30 kwa kila jaribio. (kiwango cha $120 kwa jaribio nne). Unaweza kulipia jaribio moja kwa wakati, unapoziratibu.

Next, you will have to pay a fee to schedule the test. It varies from state to state, but it is about $30 for each of the four tests ($120 for all of them). You can pay for one test at a time as you schedule them.

8. Fanya zoezi la jaribio rasmi

8. Take an official practice test

Kabla ya kufanya jaribio halisi, ni vyema kufanya jaribio na zoezi rasmi la matayarisho ya GED ikiwa unaweza. Si lazima kufanya hivyo, lakini itakusaidia kuhakikisha kuwa uko tayari kufanya jaribio halisi. Unaweza kupata jaribio za mazoezi katika “practice” katika akaunti yako ya MyGED.

Before you take the real test, it is a good idea to take the official GED Ready® Practice Tests if you can. You do not have to do this, but it will help you make sure you are ready for the actual test. You can find the practice tests under the “Practice” tab in your MyGED account.

Jaribio la mazoezi ya kujitayarisha ya GED ina urefu wa nusu ya jaribio halisi. Itakugharimu $6 kila jaribio. ($24 jaribio zote nne), kwa hivyo, fanya zile umejitayarishia na ambazo umeteuliwa kuzifanya.

The GED Ready® Practice Tests are half as long as the real tests. They cost $6 for each of the four tests ($24 for all of them), so only take the ones you have studied for and scheduled an appointment for.

Jaribio hizi zitakupa uzoefu ili uwe tayari siku ya kufanya jaribio. Matokeo yake yatakufahamisha ikiwa uko tayari kufanya jaribio au ni nini unahitaji kusoma kama haujajitayarisha vyema. Ikiwa utaamua kuwa hauko tayari kufanya jaribio halisi, unaweza kubadilisha tarehe ya kuteuliwa ya kufanya jaribio hilo masaa 24 kabla ya siku hiyo.

The tests will give you practice so you will be prepared on test day. The results will tell you if you are ready to take the test, or what to study if you are not ready. If you decide you are not ready for your real test, you can change your test appointment up until 24 hours ahead.

9. Jitayarishie siku ya jaribio

9. Get ready for test day

Haya ni baadhi ya mambo yatakayokusaidia kufaulu katika siku ya jaribio:

Here are some tips to help you succeed on test day:

 • Pata raha na uzoefu wa jaribio kwa kufanya mazoezi kwenye kompyuta yoyote.
 • Tafuta nini kwenye jaribio la GED ®
 • Fanya mazoezi ya muundo na maagizo ambayo utaona kwenye mtihani na mafunzo ya bure ya GED ®. Endelea kutumia vipimo vya bure vya USAHello pia!
 • Pata uzoefu wa jaribio kwa kufanya mazoezi katika kompyuta. Fanya mazoezi ya muundo wa maswali na maagizo ambayo utaona katika mafunzo ya bure ya GED. Endelea kufanya mazoezi ya bure ya majaribio ya USAHello pia!
 • Fanya zoezi la kutembelea kituo cha kufanyia jaribio ili usije ukakitafuta kwa mara ya kwanza katika siku ya kufanya jaribio. Pia ulizia katika kituo cha kufanyia jaribio kuhusu sheria zao au ujumbe wowote unaohitaji.
 • Hakikisha umepata usingizi wa kutosha katika siku ya kufanya jaribio. Usiende kama umechoka, unahisi kiu au njaa. Hautakubalishwa kuchukua chakula au kinywaji katika chumba cha kufanyia jaribio.
 • Usibebe bidhaa nyingi kwa sababu bidhaa za kibinafsi haziruhusiwi katika chumba cha kufanyia jaribio. Lakini, beba kitambulisho – pasipoti, cheti cha kuendesha gari, au cheti chochote cha kiserekali.
 • Beba kikokotozi, TI-30XS Multiview Scientific calculator, ikiwa utahitaji kutumia. Kutakuwa na on-screen calculator unayoweza kutumia ikiwa utahitaji.
 • Hautaruhusiwa kubeba karatasi na kalamu, lakini utapata ubao unaoweza kufutika wa kuandikia.
 • Fika katika kituo cha kufanyia jaribio dakika 30 mapema ili uweze kukikagua na kutulia. Ingia msalani kwa sababu hakuna pumziko wakati wa kufanya jaribio.
 • Ikiwa uko na maswali au matatizo wakati wa kufanya jaribio, inua mkono wako.
 • Get comfortable with the test experience by practicing on any computer.
 • Find out what’s on the GED® test
 • Practice the question formats and instructions that you will see on the test with the free GED® tutorial. Keep using the free USAHello practice tests too!
 • Make a practice trip to the test center so you do not have to find it for the first time on test day. While you are there, check with the testing center to ask for their rules and any other information you may need.
 • Make sure you get a good night’s sleep before your test. Do not arrive tired, thirsty, or hungry. You won’t be allowed to bring food or drinks into the testing room.
 • Don’t take a lot of things with you, as personal items are not allowed in the testing room. But do bring your ID – a passport, driver’s license, or other government-issued ID.
 • Bring a TI-30XS Multiview Scientific calculator if you to choose to use one. There will be an on-screen calculator for you to use instead if you prefer.
 • You won’t be allowed to bring paper and pens, but you will get erasable boards and a marker for making notes.
 • Arrive at least 30 minutes early at the test center so you can check in and get settled. Use the bathroom as there are no breaks in the test.
 • If you have questions or problems during the the test, raise your hand.

10. Baada ya jaribio

10. After the test

Utahitaji kupata alama 145 katika kila jaribio ili uweze kupita. Alama zako zitawekwa katika ged.com masaa 24 baada ya kufanya jaribio. Ukishafuzu sehemu zote za jaribio utapata diploma ya GED. Ukipata alama ya kiwango cha juu, utapewa cheti kilichoandikwa “tayari kwenda chuo cha elimu”

You will need to score at least 145 points on each part of the test to pass. Your scores will be available on ged.com within 24 hours of taking your test. When you have passed all the parts, you will receive your GED® diploma. With a very high score, you get a certificate that says you are “College Ready.”

Unaweza kurudia jaribio zote au baadhi ya masomo ikiwa umeshindwa. Unaweza kuendelea kufanya jaribio hadi wakati utakapofuzu. Lakini utahitaji kungoja kwa muda wa siku 60 baada ya majaribio ya kwanza matatu. Kuna sharia tofauti za kurudia jaribio katika kila jimbo.

You can retake all the tests or some of the subjects if you fail. You can keep taking the test until you pass, but you will have to wait 60 days after your first three tries. There are different rules for retaking the test in each state.

Kila la Heri!

Good luck!

Jifunze zaidi

Learn more

Rasilimali zingine

Other resources

Finish school and earn your GED®

Free online GED® preparation course

Kumaliza elimu yako

Ukurasa huu alimsaidia wewe? Uso Unaocheka Ndio Frown uso La
Asante kwa maoni yako!