Je! kuna nini katika jaribio la TASC?

Kiingereza piaKiingereza hakuna

What is on the TASC test

What is on the TASC test? The best way to prepare for your test is to know what is on the TASC test. Find answers to your questions about what to expect in the test. Learn how to study and practice for the test.

Je! kuna nini katika jaribio la TASC?

What is on the TASC test

Maelezo kuhusu jaribio la TASC. Pata majibu ya maswali yako kuhusu nini cha kutarajia katika jaribio. Jifunze jinsi ya kusoma na kufanya mazoezi ya jaribio.

Njia bora ya kujitayarisha na kwa kujua kilichoko katika jaribio la TASC? Kituo cha wakimbizi cha mtandao kinaweza kukupa maelezo unayohitaji.

What should I expect?

Ni nini unapaswa kutarajia?

What is on the TASC test? This is what you can expect:

Unapaswa kutarajia:

 • You will go to a test-approved site to take the TASC test
 • You cannot take the TASC test online
 • You can take the test on a computer or on paper
 • You can take the test in English or Spanish
 • The test has 5 parts, called subtests – one for each content area (subject)
 • Utaenda katika kituo cha jaribio kilichoidhinishwa ili kufanya jaribio la TASC

 • Hauwezi kufanya jaribio la TASC katika mtandao.

 • Unaweza kufanya jaribio katika kompyuta au kwenye karatasi.

 • Unaweza kufanya jaribio katika lugha ya Kiingereza au Kihispania

 • Jaribio lina sehemu 5, vinavyojulikana kama jaribio ndogo – moja kwa kila sehemu ya maudhui (somo)

The whole test takes 7 hours 30 minutes. But you can take the 5 parts on different days. This is good for busy workers and parents. It means you can choose to study for each part of the test separately. Or you can take the parts you already know, and then use your time to study for the harder parts.

Jaribio lote huchukua muda wa masaa7 na dakika 30. Unaweza kufanya sehemu tano za jaribio katika siku tofauti. Hili ni bora kwa wafanyikazi walio na shughuli nyingi na wazazi pia. Inamaanisha unaweza kuchagua kusoma kila sehemu ya jaribio wakati tofauti. Au, unaweza kufanya sehemu ambazo tayari unajua kisha utumie wakati wako kusoma sehemu zile ngumu.

How do I know if I am ready to take the test?

Nitajuaje kama niko tayari kufanya jaribio?

You can take our free online practice tests to see if you are ready.

Should I take the test on paper or computer?

Je, nifanye jaribio kwenye karatasi au kompyuta?

Some test sites offer the test on computer, others offer the test on paper, and some offer both choices.

Baadhi ya maeneo hupeana jaribio kwenye kompyuta, wengine kwenye karatasi na wengine hupeana chaguo zote mbili.

If you are taking the test on a computer, you must get comfortable using the tools you will find in the test. You can try the tools on the TASC online tools training. If you are not used to computers, you may decide to practice at your test site with the actual computer, mouse and keyboard you will use in the test.

Ikiwa utafanya jaribio kwenye kompyuta, ni lazima ujizoeshe kuitumia vifaa ambavyo utapata katika jaribio. Unaweza kujaribu kutumia vifaa hivyo katika mafunzo ya mtandao ya vifaa vya TASC Pia, tanzama video hii ambayo huelezea jinsi ya kufanya jaribio la TASC kwenye kompyuta. Ikiwa hauna uzoefu wa kutumia kompyuta, unaweza kuamua kufanya mazoezi katika tovuti yako ya jaribio ukitumia kompyuta halisi, kipanya na kibodi ambazo utatumia kufanya jaribio.

Or, you may decide you prefer the paper test. Use the official practice questions to try out answering TASC questions on paper.

Au, unaweza kuamua unapendelea kufanya jaribio kwenye karatasi. Tumia maswali ya mazoezi rasmi na ujaribu kujibu maswali ya TASC kwenye karatasi.

Linganisha na uamue:

What are the questions like?

What is on the TASC test? The TASC test has several different types of questions. Some are for the computer test, while others are for the paper test.

Maswali yako aje?

example multiple choice questionMultiple-choice questions

Je! kuna nini katika jaribio la TASC? Jaribio la TASC lina aina nyingi na tofauti za maswali. Baadhi yake ni ya jaribio ya kompyuta ilhali mengine ni ya jaribio la karatasi.

Multiple-choice questions are for both the computer and paper tests. A multiple-choice question gives you a choice of answers. The question might be about text, or it could be about a picture or map. It might be a diagram, including a chart, table, or graph. Below the text or image will be a question and then a list of answers, like this example to the right. You choose the right one by clicking a circle on the computer, or making a mark on paper.

Maswali ya kuchagua jibu moja kati ya majibu mengi

Multiple-select questions look like multiple-choice questions. But they ask you to select two or three correct answers instead of just one.

Maswali ya kuchagua jibu moja kati ya majibu mengi huwa kwenye jaribio la kompyuta na karatasi. Swali la kuchagua jibu moja kati ya majibu mengi hukupea majibu mengi. Swali hilo linaweza kuwa ni kifungu au linaweza kuwa picha au ramani. Linaweza kuwa mchoro, unaojumuisha chati, jedwali au grafu. Chini ya kifungu au picha kutakuwa na swali na kisha orodha ya majibu, kama huu mfano kwenye mkono wa kulia. Utachagua jibu sahihi kwa kubonyeza duara kwenye kompyuta au kwa kuweka alama kwenye karatasi.

The good thing about multiple-choice questions and multiple-select questions is that the answers are always there in front of you. You just have to figure out the right one(s). To do this, you need to look carefully at the information you are given. Read the question very carefully, too. It might trick you a little bit – for example, it might say, Which answer is not true?

Maswali mengi ya kuchagua yanafanana na maswali ya kuchagua jibu. Lakini utaulizwa kuchagua majibu mawili au matatu sahihi badala ya jibu moja.

Jambo nzuri kuhusu maswali mengi ya kuchagua na maswali ya kuchagua jibu kati ya majibu mengi ni kuwa wakati wote hupewa majibu mbele yako. Unahitaji tu kutambua jibu au majibu sahihi. Ili kufanya hivyo unahitaji kuangalia kwa makini maelezo uliyopewa. Soma swali kwa makini, pia. Swali linaweza kukuchanganya kidogo – kwa mfano, linaweza kuuliza, ni jibu gani si sahihi?

Gridded response

Gridded responses (answers) are used for math questions on both the paper and the computer tests. You will need to get used to this ways of entering your answers before you take your math test.

Jibu la grafu

With gridded responses, you will be entering your answer twice. You write each number or symbol in a square at the top. Then you fill it in again by shading the circle with the same number of symbol in the column below. This is an example from a TASC math paper test for the answer 43.8. The grid looks like this on the computer test too.

Majibu ya grafu hutumika kwenye maswali ya hesabu katika jaribio la kompyuta na karatasi. Jizoeshe njia za kujibu kabla ya kufanya jaribio la hesabu.

Drag-and-drop and other computer-only questions

Katika majibu ya grafu, utakuwa ukiweka jibu lako mara mbili. Utaandika kila nambari au ishara kwenye kijisanduku upande wa juu. Kisha utajaza tena kwa kuweka alama ya nambari au ishara kwenye duara katika safu iliyo chini. Huu ni mfano kutoka kwa karatasi la jaribio la hesabu la TASC wa jibu la 43.8 Grafu inafanana hivyo pia katika jaribio la kompyuta.

Drag-and-drop questions are only on the computer test. The computer test uses what TASC calls “technology-enhanced” questions. The computer technology allows you to change things on the screen. Using the mouse, you will move text boxes from a question area to an answer area. Or you might draw a line between boxes. There will be instructions included in the question. If you know how to use a mouse, the technology is very basic and easy.

Writing questions

Vuruta na uangushe na maswali mengine ya kutumia kompyuta pekee

Your TASC test will include questions that require you to write an answer. It could be a short response or it could be an essay.

Vuruta na uangushe ni maswali ya jaribio la kompyuta pekee. Jaribio hili la kompyuta hutumia kile TASC huita, maswali ya “teknolojia iliyoimarishwa” Teknolojia ya kompyuta hukuwezesha kubadilisha vitu katika skrini ya kompyuta. Ukitumia kipanya, utahamisha masanduku ya maswali kutoka eneo la swali hadi kwenye eneo la jibu. Au unaweza kuchora mstari kati ya masanduku. Kutakuwa na maelekezo yaliyojumuishwa katika swali. Ikiwa unajua jinsi ya kutumia kipanya, teknolojia huwa ni ya msingi sana na rahisi.

 • Constructed response: these are short written or typed answers to questions.
 • Writing prompt (essay): this is a longer written or typed answer to an item in your writing test. You will have write a few paragraphs about a topic you are given.

Kuandika maswali

Try them out!

Jaribio lako la TASC litajumuisha maswali ambayo unahitaji kuandika jibu. Inaweza kuwa jibu fupi au inaweza kuwa insha.

You can take the TASC test on paper or on a computer. Try the different formats – you will be able to complete all of the question types if you practice ahead of time!

 • Majibu yaliyojengwa: haya ni majibu mafupi au maandishi yaliyotungwa ya maswali.
 • Kuandika haraka (insha): hili ni jibu ndefu lililoandikwa au jibu lililoandikwa kwenye kompyuta la jaribio lako la kuandika. Utaandika aya ndogo kuhusu mada uliyopewa.

Jaribu!

What are the subjects?

Unaweza kufanya jaribio la TASC kwenye karatasi au kompyuta. Jaribu maswali ya miundo tofauti – utaweza kumaliza aina zote za maswali ikiwa utafanya mazoezi kabla ya jaribio!

What is on the TASC test? There are five subtests (subjects) on the TASC test: social studies, science, mathematics (math for short), reading and writing.

What is on the TASC test: Reading

Masomo ni yepi?

The reading test takes 85 minutes. It has multiple-choice questions, drag-and-drop or similar items for the computer test, and a question that needs a constructed answer.

Je! kuna nini katika jaribio la TASC? Kuna masuala matano (masomo) kwenye jaribio la TASC: masomo ya kijamii, sayansi, hisabati (math kwa ufupi), kusoma na kuandika.

Kuna nini katika jaribio la TASC: Kusoma

Jaribio la kusoma huchukua muda wa dakika 85. Liko na maswali ya kuchagua jibu kutoka kwa majibu mengi, ya kuvuruta na kuangusha au vipengele sawa kwenye jaribio la kompyuta, na swali ambalo linahitaji jibu la insha.

You will answer materials about texts you read. You will read 75 % informational texts, such as newspaper articles or factual essays. You will read 24 % literary text, such as excerpts from novels, plays or poems.

Utatoa majibu kuhusu kifungu ulichokisoma. Utasoma asilimia 75 ya maandishi ya habari, kama vile magazeti, nakala au vifungu vya ukweli. Utasoma asilimia 24 ya maandishi ya kifasihi, kama vile dondoo za riwaya, mchezo wa kuigiza au shairi.

The test will measure:

Jaribio litapima:

 • comprehension: understanding what the passage says
 • analysis: examining how and why details are used
 • application: transferring ideas from one context to another
 • synthesis: putting ideas together to understand a larger meaning
 • Ufahamu: kuelewa maana ya kifungu
 • Uchambuzi: kutahini ni vipi na kwa nini maelezo yametumiwa.
 • Matumizi: kuhamisha maono katoka kwa muktadha mmoja hadi mwingine
 • Usanisi: kuweka maoni pamoja ili kuelewa maana iliyokusudiwa.

Kuna nini katika jaribio la TASC: Kuandika

Jaribio la kuandika huchukua muda wa dakika 110. Sehemu ya 1 huchukua dakika 65. Liko na maswali ya kuchagua jibu kutoka kwa majibu mengi, ya kuvuruta na kuangusha au vipengele sawa za jaribio la kompyuta. Sehemu ya pili huchukua muda ya dakika 45 na iko na swali moja la kuandika la insha.

What is on the TASC test: Writing

Sehemu ya kwanza itapima:

The writing test lasts 110 minutes. Part 1 takes 65 minutes. It has multiple-choice questions and drag-and-drop or similar items for the computer test. Part 2 takes 45 minutes and has one written essay question.

 • Kuandika (asilimia15)
 • Sarufi/matumizi ya sarufi (asilimia 30)
 • Matumizi ya herufi kubwa/ alama za uandishi/uendelezaji (asilimia 25)
 • Ufahamu wa lugha (asilimia30)

Part 1 will measure:

Sehemu ya 2 (insha) itasahishwa kwa kuzingatia:

 • kueleza kwa ufasaha
 • Upangaji wazi wa mikakati
 • ukuaji kamilifu wa mawazo
 • muundo wa sentensi, alama za uandishi, sarufi, uchaguzi wa neno na uendelezaji wa neno
 • writing (15%)
 • grammar/usage (30%)
 • capitalization/punctuation/spelling (25%)
 • knowledge of language (30%)

Part 2 (the essay) will be scored on:

Kuna nini katika jaribio la TASC: Masomo ya jamii

 • clarity of expression
 • clear and strategic organization
 • complete development of ideas
 • sentence structure, punctuation, grammar, word choice, and spelling

Jaribio la masomo ya jamii huchukua muda wa dakika 75. Liko na maswali ya kuchagua jibu kutoka kwa majibu mengi, ya kuvuruta na kuangusha au vipengele sawa kwenye jaribio la kompyuta, na swali ambalo linahitaji jibu la insha.

Wakati wa jaribio, utajibu maswali kuhusu Marekani, historia ya dunia, uchumi, jiografia, uraia na serekali. Jaribio hili litapima kuelewa kwa kuhusu kanuni msingi katika maeneo hayo. Utakuwa ukiangalia vifungu vya maandishi, vielelezo, grafu, na chati.

What is on the TASC test: Social studies

Kuna nini katika jaribio la TASC: Hesabu

The social studies test lasts 75 minutes. It has multiple-choice questions, drag-and-drop or similar items for the computer test, and a question that needs a constructed answer.

Jaribio la Hesabu huchukua muda wa dakika 105. Katika sehemu ya 1 (dakika 55) utatumia kikokotoo. Katika sehemu ya 2 (dakika 50) vikokotoo haviruhusiwi. Kuna maswali ya kuchagua jibu kutoka kwa majibu mengi, ya grafu, ya kuvuruta na kuangusha au vipengele sawa za jaribio la kompyuta.

Jaribio la hesabu litalenga uwezo wako wa kuelewa hesabu. Pia, litapima kuelewa kwako kwa:

 • hesabu msingi
 • matatizo ya neno
 • aljebra
 • Jiometri

Toleo la jaribio la hesabu ya kompyuta liko na kikokotoo cha skrini. Hili ndilo karatasi la maagizo ya kikokotoo cha mtandao. Ikiwa unapendelea kikokotoo cha mkono badala ya cha skrini, uliza katika kituo chako cha jaribio ikiwa unaweza kubebe kikokotoo chako kati ya hizi zilizoko katika orodha hapa chini.

Ikiwa unafanya jaribio la hesabu ya karatasi, utahitaji kubeba kikokotoo cha mkono. Texas Instrument Model TI-30XS ndio hupendekezwa katika jaribio za TASC, lakini hapa kuna orodha kamili ya vikokotoo vilivyo idhinishwa

During the test, you will answer questions on US and world history, economics, geography, civics, and government. The test will measure your understanding of the basic principles in each of those areas. You will be looking at text passages, illustrations, graphs, and charts. You can learn more about the TASC Social studies subtest.

Kuna nini katika jaribio la TASC: Sayansi

Jaribio la sayansi huchukua muda wa dakika 75. Liko na maswali ya kuchagua jibu kutoka kwa majibu mengi, ya kuvuruta na kuangusha au vipengele sawa za jaribio la kompyuta.

Jaribio la sayansi litalenga sayansi asilia, sayansi ya uhai na sayansi ya dunia na anga. Utahitaji kuelewa baadhi ya dhana msingi za kisayansi na pia mbinu ya kisayansi. Unaweza hitajika kukumbuka maarifa, kutumia maarifa na ujuzi au kutumia mafikira.

What is on the TASC test: Mathematics

Je? Alama za jaribio hupatikanaje?

The math test lasts 105 minutes. For part 1 (55 minutes) you use a calculator. For part 2 (50 minutes) calculators are not allowed. There are multiple choice questions, gridded response questions, and drag-and-drop or similar items for the computer test.

Alama za jaribio hupatikana katika kiwango cha 300 hadi 800 kwa kila mada. Kiwango cha chini cha kufaulu cha alama ni:

 • Kusoma 500
 • Hesabu 500
 • Sayansi 500
 • Masomo ya jamii 500
 • Kuandika 500 kuongezea angalau alama 2 kati ya kila alama 8 katika insha

The math test will focus on your mathematical reasoning skills. It will also measure your understanding of:

Ikifaulu mada zote tano, umefaulu jaribio la TASC.

 • basic math
 • word problems
 • algebra
 • geometry

Nina maswali kuhusu jinsi ya kufanya jaribio la TASC katika jimbo langu.

The computer version of the math test has an on-screen calculator. You can practice with the online calculator in the math section of the TASC online tools training. If you prefer a handheld calculator to an on-screen calculator, ask at your testing site if you can bring your own from the list below.

Nitafanya nini sasa?

If you’re taking the paper-delivered test, you will need to bring a handheld calculator. Texas Instrument Model TI-30XS is the preferred calculator for taking the TASC test, but there is a complete list of approved calculators.

Tuko hapa kukusaidia ufaulu!

What is on the TASC test: Science

Find help near you

Use FindHello to search for services and resources in your city.

Anza utafutizi wako

The science test lasts 75 minutes. It has multiple-choice questions and drag-and-drop or similar items for the computer test.

The science test will focus on physical science, life science, and earth and space science. You will need to understand some basic scientific ideas and the scientific method. You may need to recall knowledge, apply knowledge and skills, or apply reasoning. You can learn more about the TASC Science subtest.

How are the tests scored?

The tests are scored on a scale of 300 to 800 for each subtest. The minimum passing scores are:

• Reading 500

• Mathematics 500
• Science 500
• Social Studies 500
• Writing 500 plus at least 2 out of 8 possible points on the essay

When you have pass all five subtests, you have passed the TASC test.

I have questions about how to take the TASC test in my state.

You can find out how to take the TASC test in your state.

What should I do next?

We are here to help you succeed!

Learn more

Finish school and earn your GED®

Free online GED® preparation course

Finish your education
Ukurasa huu alimsaidia wewe? Uso Unaocheka Ndio Frown uso La
Asante kwa maoni yako!