Tafuta. Jifunze. Stawi.
Kituo cha mtandaoni cha taarifa na elimu kwa wakimbizi, watafuta hifadhi, wahamiaji na jamii zinazokaribishwa. Tazama video ili kufahamu zaidi.
Hudhuria katika darasa la mtandaoni bila malipo
USAHello ina madarasa ya bure katika lugha mbalimbali. Madarasa yetu hukutayarisha na mitihani ya GED® na mtihani wa uraia wa Marekani. Jifunze mahali popote, wakati wowote, na jifunze kwa kasi yako mwenyewe.
Jifunze popote
Jifunze kwenye simu yako au kwenye kompyuta. Jifunze wakati wowote, popote ulipo.
Rahisi kutumia
Nenda kwa kasi yako mwenyewe. Soma masomo na fanya maswali mara nyingi kadri upendavyo.
Imetengenezwa kwa ajili yako
Madarasa yetu yaliandaliwa kwa ajili ya wanafunzi wa lugha ya Kiingereza.
Jifunze diploma yako ya GED® mtandaoni. Ukiwa na cheti cha sekondari, unaweza kwenda chuo kikuu au kupata kazi bora.
Hudhuria darasaniJitayarishe kwa mtihani wa uraia wa Marekani. Fahamu unachopaswa kutarajia katika usahili wako na fanya mazoezi ya Kiingereza wakati unasoma.
Hudhuria darasani
Pata msaada wa kisheria, madarasa ya Kiingereza, kliniki za afya, msaada wa nyumba, na zaidi. Tafuta ramani ya eneo lako na orodha ya huduma kwa wahamiaji nchini Marekani na programu ya FindHello.