kuandika barua ya maelezo ya kwa ajili ya kutuma maombi ya kazi

Kiingereza piaKiingereza hakuna

Kuunda barua ya bima ya maombi ya kazi ni muhimu. Inakupa nafasi ya kuzungumza juu ya kwanini wewe ni mzuri kwa kazi hiyo. Soma vidokezo 7 ambavyo vitakusaidia kuandika barua kubwa ya kufunika.

Creating a cover letter for a job application is important. It gives you a chance to talk about why you are good for the job. Read 7 tips that will help you write a great cover letter.

Learn how to write a cover letter for a job application

Learn how to write a cover letter for a job application

Mchakato huu unaweza kuwa ni wa kuchanganya. Barua ya maelezo ya kina hukupa wewe fursa ya kuelezea ujuzi wako na mafanikio yako kwa kina. Hapa kuna vidokezo kumi kuhusu jinsi ya kuandika barua bora ya maelezo ya kina.

The process of writing a cover letter may be confusing. The cover letter gives you a chance to talk about your skills and achievements in more detail. Here are 7 tips about how to write an excellent cover letter.

1. Tumia mtindo sawa kama ilivyo kwenye mtaala wako.

1. Use the same format for your cover letter as your resume

Barua ya maelezo ya kina kwa ajili ya kuomba kazi na mtaala wako zinapaswa kuwa na fonti na mtindo sawa. Nafasi zilizoko kwenye pande za ukurasa zinafaa kuwa sawa. Unaweza kutoa nakala ya sehemu ya juu ya mtaala wako iliyo na maelezo yako ya mawasiliano.

The cover letter for a job application and resume should have some the same font size and style. The margins (spaces on the side of the page) should be the same too. You can just cut and paste the top part of the resume (header) that includes your contact information.

2. Usirudie mtaala wako

2. Don’t repeat your resume in your cover letter

Usitumie lugha ile ile uliyoyumia kwenye mtaala wako. Hili linaweza kuchosha mwajiri wako anaposoma. Badala yake, eleza kuhusu hadithi au maelezo zaidi kuhusu fanikio. Mfano, inaweza kuwa kidokezo(bullet) kwenye mtaala wako ambayo inasema ulifanya uhasibu katika kampuni yako ya zamani. Unaweza kuchangua kuelezea hadithi kuhusu wakati ambao ulirekebisha kosa la akaunti na kuokoa pesa za kampuni.

Do not use the exact same words as in your resume. This can be boring to read for employers. Instead, tell a story or more detail about an achievement. An example would be a bullet on your resume that says you did accounting at your old company. You could choose to tell a story about the time you fixed an accounting mistake and saved the company money.

3. Usizungumzie kuhusu ujuzu usio nao.

3. Don’t talk about what you don’t have

Hakuna mtu ambaye ujuzi wake wote huwa umeandikwa kwenye maelezo yake ya kazi. Ikiwa uko na kiwango cha ujuzi cha asilimia 80, utakuwa mgombea mzuri kwa kazi hiyo. Kamwe usiwahi sema hauna ujuzi. Badala yake, lenga ushupavu wako

Nobody has every skill that is written in a job description. If you have 80%, you are a good candidate. Never mention that you are lacking a skill. Instead, focus on what your are good at.

4. Waambie ni kwa nini unapenda hio kampuni

4. Use your cover letter to say why you like the company

Ni muhimu kwamba mwajiri atahisi kuwa kwa kweli ungependa kuwafanyia kazi. Ikiwa ulipata hio nafasi katika mtandao, angalia kwenye tovuti yao. Soma kifungu cha “kuhusu” na ujue bidhaa au kazi yao ni nini. Tanzama kifungu cha “Dhamira na Maono”. Hapo ndipo kampuni huzungumzia kuhusu malengo yao na kile muhimu katika kampuni yao. Changua kitu unachokipenda kuhusu kampuni hio na ukitaje kwenye mwisho wa barua yako ya maelezo ya kina.

It is important that the employer feels that you really want to work for them. If you just found the position online, go to their website. Read the “about” section and learn about what their product or work is. Look at their “mission and vision” section. That is where companies talk about their goals and what is important to their company. Pick out something that you like about the company and mention it at the end of the cover letter.

5. Zungumza kuhusu wewe binafsi na sio kikundi

5. Talk about yourself and not the team

Nchi nyingi huthamini kuwa sehemu ya jamii au kikundi. Ilhali, Marekani ni nchi ya ubinafsi. Hii inamaanisha kuwa waajiri wengi wanataka kusikia kuhusu ushupavu wako maalum. Tumia neno “mimi” badala ya “sisi” ili kumvutia mwajiri. Unaweza kuhisi ugumu lakini itakuwa rahisi jinsi unavyopata uzoefu

Many countries value being a part of a community or team. However, the USA is an individualistic country. This means American employers want to hear about what your specific strengths. Use the word “I” instead of “we” to impress the employer. It may feel difficult but will become easier with practice.

6. Fanya utafiti

6. Do some research

Utahitaji kuandika anwani ya mawasiliano ya hiyo kampuni katika barua ya maelezo ya kina unapotuma maombi ya kazi. Jambo moja ambalo ni vyema kufahamu ni jina la meneja mwajiri. Wakati mwingine huwa limewekwa kwenye maelezo ya kazi. La sivyo, tafuta kampuni hiyo katika linkedInambayo ni tovuti ya mtandao wa kazi. Ukiipata, iweke kwenye barua yako ya maelezo ya kina. Hili litaonyesha mwajiri kuwa wewe huwa makini kwa undani na hufanya kazi ya ziada.

You will need to write the company contact information on your cover letter for a job application. One of the things that is good to know is the hiring manager’s name. Sometimes, it is written on the job description. If not, look up the company on LinkedIn, which is a site for job networking. If you find it, put it in your cover letter. It will show the employer that you pay attention to detail and do extra work.

7. Taja kile hukutofautisha

7. Mention what makes you different

Kuna uwezekano kuwa watu wengi walituma maombi ya kazi unayoitaka. Barua ya maelezo ya kina hukupa nafasi ya kutuja ni nini kinachokutofautisha. Unapaswa kuzungumzia kuhusu jinsi ujuzi wako unaweza kusaidia kampuni. Kama mhamiaji, unazungumza lugha nyingine. Hili ni muhimu kwa sababu kampuni nyingi ziko na wafanyikazi tofauti au ofisi zilizo kwenye nchi zingine. Unaweza kuwa pia ulifanya kazi au ulijitolea kufanya kazi pamoja na watu wa tamaduni tofauti. Hakikisha umetaja hili.

There is a good chance many people applied for the job you want. A cover letter is your chance to say what makes you different. You should talk about how your skills can help the organization. For example, as an immigrant, you speak another language. This is important because many companies have diverse employees or offices in other countries. You also may have worked or volunteered with people from different cultures. Make sure to mention this.

Kwenye ukurasa wetu wa mifano ya barua, unaweza kupata mifano ya barua nzuri za bima. Utaona barua ya mfano ya kazi ya kiwango cha kuingia na barua ya mfano ya kazi ya kitaalam. Utaweza kupakua vielelezo vya herufi zote mbili kwa Neno na kuzibadilisha ili kuendana na maombi yako mwenyewe.

On our cover letter examples page, you can find examples of good cover letters. You will see a sample letter for an entry-level job and a sample letter for a professional job. You will be able to download examples of both letters in Word and change them to suit your own application.

Jifunze zaidi

Learn more

Finish school and earn your GED®

Free online GED® preparation course

Kumaliza elimu yako

Ukurasa huu alimsaidia wewe? Uso Unaocheka Ndio Frown uso La
Asante kwa maoni yako!