Jinsi ya kuendesha? Taarifa juu ya jinsi ya kuendesha gari Marekani

Kiingereza piaKiingereza hakuna

How do learn to drive

To start driving in America, you must learn how to drive safely and to pass a test showing you know the US driving laws. Every state requires you to get a driver’s license if you plan on driving, and if you move to a different state you must exchange your old license for a new license in that state. You may need to drive to work or for work. Here are some important things to know about how to drive in the USA.

Ili kuanza kuendesha gari nchini Marekani, lazima ujifunze jinsi ya kuendesha salama na unahitaji kupitisha mtihani inaoonyesha unajua sheria za kuendesha gari Marekani.

How do learn to drive

Kila hali nchini marekani inahitaji upata leseni ya kuendesha gari kama unapanga kuendesha. Na ikiwa unahamia kwenye hali tofauti unapaswa kubadilisha leseni yako ya zamani kwa ajili ya leseni mpya. Unaweza kuhitaji kuendesha gari kazini ao kwa ajili ya kazi

 

Kupata leseni ya kuendesha gari

Getting a driver’s license

Jamii fulani zina shida na wakimbizi kuendesha kinyume cha sheria au hawajui jinsi ya kuendesha

It is illegal to drive without a driving license. Each state in the US has different driving laws. you can learn these laws by reading a US driver’s manual in many languages. You will also need to read the actual driver’s manuals for your state. Once you have read and understood the laws, you will need to take both a written test and a driving test to get your license. You will need to schedule this test ahead of time, You can go online or visit or call the DMV office that is closest to your home. You have to pay a fee to take your test and get your license.

Kila jimbo Marekani ina sheria tofauti ya kuendesha gari. Unaweza kujifunza sheria hizi kwa kusoma mwongozo wa udereva( kitabu cha sheria) Tovuti ya DMV.org ina PDFs ya mwongozo wa udereva wa kila jimbo Marekani. Mara baada ya kusoma na kuelewa sheria, unahitaji kuchukuwa mtihani wa kuandika na kuendesha gari kwa kupata leseni yako. Unahitaji kupanga ratiba ya mthihani huu kabla ya muda, Ingawa mtandaoni au kwa kuwatembelea au kwa kupigia ofisi ya DMV ambayo iko karibu na jimbo lako. Unatakiwa kulipia ada ya kuchukuwa mthihana ili upate leseni yako.

Car insurance

Bima ya gari.

Car insurance covers costs in the event of an accident or injury. The law requires basic insurance on all cars in case the driver injures someone or damages someone else’s property. You can also get insurance to cover the cost of damage to your own car, and for car theft.

Bima ya gari inashugulikia ghalama katika tukio la ajali au Jeraha. Sheria inahitaji bima ya msingi kwa magari yote ikiwa dereva huumiza mtu au kuharibu mali ya mtu mwingine. Unaweza pia kupata bima ya gari ili kufidia ghalama za uharibifu wa gari lako mwenyewe na wizi wa gari.

You must have at least basic car insurance in order to drive legally. Even if you are driving a friend’s car, it is your responsibility to make sure that the car you are driving is insured. The insurance document should be kept in the car to show if you are stopped by police.

Lazima uwe na angalau bima ya gari ili uendeshe gari kisheria. Hata kama unaendesha gari ya rafiki yako ni wajibu wako kuhakikisha kuwa gari unaendesha ina bima. Hati ya bima inapaswa kuwekwa kwenye gari ili kuonyesha ukiwa umesimamisha na polisi.

Car registration

Usajili wa gari

Car registration is a tax paid every year to the state. It allows you to take the car on the road and pays for your license plates. It is not legal to drive a car that is not registered. The registration document should be kept in the car to show if you are stopped by police.

Usajili wa gari ni kodi linalipwa kila mwaka kwa serikali. Inakuwezesha kuweka gari barabarani na kulipia mabamba yako ya leseni.sio kishelia kuendesha gari ambayo haijasajiliwa. Hati ya usajili inapaswa kuwekwa kwa gari ili kuonyesha ukiwa umesimamisha na polisi.

Safety and driving tips

Vidokezo vya usalama na uendeshaji

The USA has laws to protect you while you are driving. You must always follow these laws. These laws may be different than in your home country. You will need to learn the specific laws for your state. Here are some important safety rules that most states require:

Marekani ina sheria ya kukulinda wakati unaendesha gari. Lazima ufuate sheria hizi. Sheria hizi zinaweza kuwa tofauti na sheria za inchi ya nyumbani. Utahitaji kujifunza sheria maalum kwa jimbo lako nchini Marekani. Hapa kuna baadi ya sheria muhimu za usalama ambazo mataifa mengi huhitaji.

• Car seats

Viti vya gari

Infants and children must ride in car seats appropriate to their size that are strapped securely in the car. The age children can stop using car seats varies by state. If you are unsure, contact your local DMV office. Never hold a child in your lap while driving or riding in a vehicle; it is both dangerous and illegal.

Watoto wachanga na watoto wadogo lazima wakae kwenye viti vinalingana na ukubwa wao ambao hupigwa salama katika gari. Watoto wa umri wanaweza kuacha kutumia viti vya gari hutofautiana na jimbo unainshi, ikiwa huna uhakika unaweza kuwasiliana na ofise ya DMV iko karibu yako. Kamwe ushisikilie mtoto kwenye rundo lako wakati unaendesha au uko kwa gari, ni hatali na halali.

• Seatbelts

Mikanda ya gari

You must wear a seatbelt while driving a car or riding in a car in the US. Everyone in the vehicle must wear a seatbelt, whether driving or riding as a passenger. The reason is that, in a crash, people without seatbelts could fly out of their seats, injuring themselves and others.

Lazima uvae mkanda wa gari ukiwa unaendesha ao uko kwenye gari nchini Marekani. Kila mtu ndani ya gari lazima avae mkanda kama anaendesha au kama ni abaria. Sababu ni kwamba, kwa ajali, mtu bila mkanda anaweza kuruka inje ya kiti chake cha gari na kuwaumiza wengine kama vile mwenyewe.

• Helmets

Helmeti

If you are riding or driving a motorcycle, you should wear a helmet. Almost every state in the USA requires motorcyclists to wear helmets.

Ukiwa unapanda au unaendesha pikipiki, unapaswa kuvaa kofia ya nchuma. Karibu kila nchini marekani inahitajika kuvaa kofia ukiwa unaendesha pikipiki.

• Drinking

Kunywa

You are not allowed to drink alcohol before or while driving. This is very important because you can lose your license if you drink and drive and be required to pay huge fines or even serve time in jail. You could also seriously injure or kill someone if you drink and drive.

Huruhusiwi kunywa pombe kabla au wakati unaendesha gari. Hii ni muhimu sana kwa sababu unaweza kupoteza leseni yako ukiwa unakunywa pombe na kuendesha gari, unaweza pia kulipa faini au kutumikia kifungo jela. Unaweza pia kujeruhi au kumwua mtu ukiwa unakunywa pombe wakati unaendesha gari.

• Cellphones and other distractions

Simu ya mkononi na vingine vikwazo

It is illegal to talk on your phone while you are driving in some states in the US. Texting is banned in almost all states. Cell phones can distract you from the road. If you need to use your phone, you should pull over. A growing number of US cities are forbidding other distractions as well, such as eating, drinking coffee, or attending to pets.

Ni kinyume cha sheria kuzungumza kwenye simu wakati unaendesha gari nchini Marekani. Kuandika Ujumbe kwa simu wakati unaendesha gari ni marufuku karibu majimbo yote nchini marekani. Ukiwa unahitaji kutumia simu yako, unapaswa kuvuta( kuweka gari pembeni). miji ya Marekani inazuia vikwazo vingine pia, kama vilevile kula, kunywa kahawa, au kuhudhuria wanyama .

• Children in vehicles

Watoto kwenye Gari

You are generally not allowed to leave your children in your car when you are not in the car. For example, if you go into a store, you must bring your children with you. If children are left alone, they could be injured trying to get out, release the brake or clutch, overheat or freeze, lock you out, or go missing.

Kwa kawaida, huruhusiwi kuondoka na kuacha watoto kwenye gari. Kwa mfano ukiwa unaenda dukani, unapaswa kuwaleta watoto wako . wanaweza wakajeruhiwa wakijaribu kutoka kwa nje, kutolewa breki ao clutch, overheat au kufungia, kuzima gari au wakapotea.

• Driving when tired

Kuendesha gari wakati umechoka

Do not drive if you are tired. If you are in your car and realize you are too tired to drive, signal and pull over to a safe location where you are not obstructing traffic and you are not in danger. On freeways there are designated rest areas. Always lock your doors while you nap.

Usiendeshe gari ukiwa umechoka. Ukiwa kwenye gari na kutambua umechoka sana kuendesha, Ishara na upeleke gari kwenye mahali salama ambapo hutoweza kuzuia magari mengine na huko kwenye hatari. Kwenye njia kuna maeneo mengine ya kupumzika, funga milango ya gari wakati unapumzika.

• Honking and other noise

Kupiga Honi ya gari na kelele

Avoid using your horn unless there is a concern for safety. In some areas, it is illegal to use the horn unnecessarily or during certain hours. The use of loud radios is also discouraged or illegal in some areas.

Epuka kutumia honi ya gri (pembe) isipokuwa kuna wasiwasi. katika maeneo mengi nchini Marekani, ni kinyume cha sharia kutumia honi ya gari bila sababu za msingi au wakati Fulani. Utumiaji wa sauti ya radio kubwa hairuhusiwi au ni kinyume cha sharia katika maeneo mengi.

• Locks and keys

Kufuli na Funguo

Vehicle theft and theft from vehicles is a problem in some areas. It is important to lock your car doors, even while in your car, and take your keys when you leave. Remove valuables from view.

Wizi wa magari ni tatizo kwa maeneno Fulani nchini Marekani. Ni lazima ufunge milango ya gari hata ukiwa kwenye gari, ikiwa umetoka kwenye gari chukua funguo za gari, chukua vitu muhimu ukiondoka.

• Pets in vehicles

Wa nyama kwa magari

If the weather is very hot or very cold typically above 70°F or below 40°F, it is a bad idea to leave pets in the car even with the windows open, because they could die. Pets have been known to lock a driver out of a car, so always keep a key on you.

Ikiwa hewa ni joto sana au ni baridi sana juu ya 70 oF au chini ya 40oF ni wazo mbaya kuacha mnyama kwenye gari hata ukiacha madilisha wazi kwa sababu wanaweza kufa. Wanyama wangejulikana kufungia dereva inje ya gari, hivyo kaa( kuwa) na funguo wakati wowote.

Accidents

Ajali

If you get in an accident while you are driving, you must stop. Do not leave the scene of the accident without stopping. If your car is still working, try to pull off of the road. If anyone is hurt, you should call 911 immediately.

Ukiwa umepata ajali wakati unaendesha gari unapaswa kusimama, usiondoke tukio ya ajali bila kusimama. Ikiwa gari lako bado inatembea, jaribu kuvuka barabara usimame pembeni ya barabara. Kama kuna mtu aliumia, unapaswa kuita 911 ( polisi) halaka.

If no one is hurt, you should write down the name, phone number, address, driver’s license number, license plate number, and insurance information of the person you hit or who hit you. If there were people who witnessed (saw) the accident, you should also collect their names and phone numbers. If you have a camera, you can take pictures of any damage. You should also write down the location of the accident and take pictures of the location as well.

Kama hakuna mtu aliumia, unapaswa kuandika majina, nambari ya simu, anwani, nambari ya leseni ya kuendesha gari, nambari ya gari na bima ya gari ya mtu umegonga ao amekugonga. Kama kulikuwa na mashaidi waliona tukio ya ajali, unapaswa kuandika majina na nambari za simu zao. Ukiwa una camera, chukuwa picha sehemu ua uharibifu. Unapaswa kuandika eneo ya ajali na kuchukuwa picha ya eneo hilo.

After the accident, you should report the accident to your insurance company immediately.

Baada ya ajali unapaswa kulipoti ajali kwa kampuni ya bima yako halaka.

Driving in bad weather

Kuendesha kwa hewa mbaya

Depending on where you are resettled in the US, the weather may be very different from that of your home country. It may be your first time driving in extreme conditions.

Inategemea sehemu unaichi nchini Marekani, hewa inaweza kuwa tofauti na hewa ya inchi ulipotoka.( nchini yako). Inawezekana kuwa ni mala ya kwanza kuendesha kwa hewa mbaya.

  • If the road is icy or snowy, you should avoid driving. If you must drive, go slowly and use snow tires or chains on your tires. They can help you stop better in ice or snow.
  • Pack an emergency kit in your car that contains safety items, such as a first aid kit, extra warm clothing, water, chains, a snow shovel, and a flashlight.

Ikiwa barabara ni chafu( Icy) au ni theluji ( snow) unapaswa kuepuka kuendesha gari. Ikiwa ni lazima kuendesha, endesha gari polepole tumia matairi ya theluji ( snow) au minyororo ya matairi ya gari. Minyororo inaweza kusaidia kusimama vema katika hali ya barafu au ya theluji.

Road rage

Pakiti kit ya dharura katika ya gari yako una vipengee vya usalama kama vile vya huduma ya kwanza, mavazi ya joto ziada, maji, minyororo, nguo za theluji na kurunzi.

Road rage is a term to describe the anger people feel when they drive. People may yell or honk or drive to close to you if they are angry about your driving. If you realize you made a mistake when you are driving, you can wave to show the person you are sorry. If someone has road rage and is angry at you, do not respond. Try to just keep driving as calmly as possible and get out of their way. Do not confront or challenge an angry driver, and do not drive when you are angry or upset. Driving takes a lot of concentration and patience.

Njia ya hasila

Buying a car

Njia yenye hasira ni njia ndefu ya kueleza hasira kwa watu wanahisi wakati wanawafukuza. Watu wanaweza kupiga kelele au kuhamasisha au kuendesha gari lako la kuhamisha kwa kuwa linakukandamiza kuendesha gari. Kama umegundua umefanya makosa wakati unaendesha gari,unaweza kuzunguka na kumpepea mkono mtu kwa kuonyesha umeomba msamaha. Ikiwa mtu ana hasira ya barabara na ana hasira kwako, jibu. Jaribu kuendelea kuendesha gari kwa utulivu iwezekanavyo na uondoke kwenye njia unasikitisha. Kuendesha gari kunachukua utulivu mwingi na uvumilivu hiyo. kabiliana na hasira ya dereva wa changamoto, na kuendesha gari wakati unakasirika au.

Is it your first time buying a car in the USA? Buying a car is a serious commitment. We recommend that you have an American friend or mentor help you the first time you buy a car. You can sometimes get a loan from the bank or credit union to purchase a car. But if you get a loan, you will pay interest on it every month so the car will cost more than if you saved money to buy it with cash.

Hizi ni mapendekezo yote kukusaidia kuelewa kuendesha gari bora nchini Marekani. Hakuna habari hii inalenga kama ushauri wa kisheria. Maswali yoyote ya gari inaweza kuelekezwa kwa ofisi ya DMV au polisi wa eneo.

When you have paid for your car or paid off your loan completely, you will get the “title” to your car – the official document proving you own it.

How to buy a car

It is generally cheaper to buy a used car than a new car. You can buy a used car from the owner or from a car dealer. You can negotiate on the price. If you are buying a used car, it is a good idea to have a mechanic look at the car before you buy it to make sure that nothing is wrong with the car. You will also want to test drive the car. This means you will take it for a drive and check to make sure everything is working before you buy it.

When you buy a used car, you need to make sure that the car “title” (which shows proof that the person you are buying it from owns it) is clear. You should get the car title notarized (officially signed) and make sure you get a receipt, even if it is hand-written, from the owner of the car.

Requirements for buying and owning a car

  • To buy a car, you will need a driver’s license.
  • You will have to register the car with the department of motor vehicles in your state to get license plates, which are required.
  • You will also have to pay for monthly insurance to drive the car and gas and maintenance for the car.

Learn more

These are all just suggestions to help you better understand driving in the USA. None of this information is intended as legal advice. Any questions about driving should be directed to state DMV offices or local police.

Find help near you

Use FindHello to search for services and resources in your city.

Start your search
Ukurasa huu alimsaidia wewe? Uso Unaocheka Ndio Frown uso La
Asante kwa maoni yako!