Kodi ni kitu gani

Kiingereza piaKiingereza hakuna

Kodi ni kitu gani?

Taxes are amounts of money people contribute to the costs of running a country or community. For example, taxes pay for schools, hospitals, and roads.When citizens and green card holders pay taxes, they are paying their share of programs that benefit them.

Kodi ni kiasi cha pesa kinacholipwa kwa serikali. Serikali ni pamoja na Serikali kuu, serikali za majimbo, na serikali za wilaya na miji. Kama unalipwa mshahara, ukitumia pesa kununua vitu au huduma au unamiliki ardhi huna budi kulipa kodi ya aina moja au nyingine. Raia pamoja na wageni rasmi wanapolipa kodi wanalipia mgawo wao wa programu zinazowanufaisha wao pamoja na jumuiya yao. Kwa mfano kodi zinalipia shule, hospitali na mabarabara.

How to pay taxes in the US: understanding the forms and process

Kodi ya mapato ni kodi gani?

What is a tax?

Kodi ya mapato ni kodi ya mishahara ikiwa pamoja na pesa zozote zingine ulizolipwa katika muda wa mwaka mmoja. Watu hulipa kodi ya mapato kwa Serikali Kuu na takribin serikali zote za majimbo. (Majimbo mengine kama New Hampshire na Florida hayadai kodi ya mapato). Kodi ya mapato ya Serikali kuu hukusanywa na idara ya Serikali Kuu iitwayo “Internal Revenue Service” nazo pesa hizo zinaendea Hazina ya Serikali Kuu. Kodi ya mapato ya serikali ya jimbo inaendea idara ya mapato ya jimbo. Kiwango au kiasi cha kodi unacholipa kinatokana na kiasi cha malipo pamoja na gharama za kazi au biashara unayofanya.

A tax is an amount of money we pay to governments. Governments include federal government, state governments, and the smaller, local governments that run counties and cities. If you earn money, spend money, or own property in America, you will pay taxes of one kind or another. It is important to understand how to pay taxes in the right way.

Kuandikisha malipo ya kodi ya mapato.

What is income tax?

Kila mwaka, wafanya kazi pamoja na wamiliki wa biashara hutakiwa kukadiria mapato ya mwaka ule uliopita. Halafu wanakadiria kiasi gani kinachodaiwa na serikali wakazituma makadirio yote kwa serikali. Mlolongo huu unaitwa “uandikaji wa makadirio ya kodi ya mapato.” Watu wengine watakuwa wameshalipa kodi hadi wanapoandikisha makadirio ya kodi ya mapato. Malipo hayo yanatokana na kukatwa mishahara kila mwezi kiasi kinachowekwa akiba hadi wafanye uandikaji wa makadirio ya kodi ya mapato. Mara kwa mara unarudishiwa kiasi fulani kutokana na akiba ile kuzidi kiasi cha kodi unachodaiwa!

How do I pay taxes

Madaraka yangu kuhusu kodi ni nini?

Income tax is a tax on your income (what you earn or receive every year). People pay income tax to the federal government and to most state governments. (Some states, such as New Hampshire and Florida, do not charge income tax.) Federal income tax is collected by the Internal Revenue Service (IRS) and goes to the US Treasury. State income tax goes to state revenue departments.

Ama unadaiwa kodi au unadai serikali kiasi, ni wajibu wako kuandikisha makadirio kwa serikali kila mwaka kabla ya “tarehe 15 mwezi wa nne.” Utatumia fomu ya kiserikali kuandikisha makadirio. Fomu hii ni ndefu ikiuliza maswali mengi kuhusu mapato na gharama zako.

The rate, or amount, of income tax you pay depends on how much you earn and what your expenses are. People who earn or receive more money pay more in taxes than people who get less money.

Kuomba msaada

Other things affect how much you pay. If you have children, you get a large tax credit to help you with the costs of raising a family. A tax credit means you pay tax on less of your income.

Kama unatatizwa usijali. Msaada unapatikana. Vyama vingi vya jumuiya na mashiriki kwa wakimbizi hutoa msaada. Kama wewe ni mkimbizi wa muda mfupi, omba msaada katika ofisi ya wakimbizii. Hata kama wewe si mkimbizi, serikali ina programu yenye kuwasaidia watu wanaohitaji msaada. Programu iitwao “Volunteer Income Tax Assistance (VITA) hutoa msaada usio na bei kuwasaidia watu ambao mapato yao ni $54,000 au kasoro kwa mwaka pamoja na wale ambao ni vilema na wale ambao wanashida katika kuongea Kiingereza. Ukarasa huu una maarifa juu ya VITA. Unaweza kupata msaada upesi ambao uko karibu nawe kwa kutumia “kitafutaji hiki cha VITA”. Mahali pengine hutoa msaada katika lugha tofauti mifano ni: Kiespania, Kiarabu, Kichina na kadhalika.

Getting married can affect how much tax you pay, too. Single people get a lower tax credit than a married couple, so they may pay more tax. But married couples who both work may pay more tax together than when they were single.

Kutumia barua pepe kuandikisha makadirio ya mapato.

How do I file a tax return?

Ukipendelea kutumia barua pepe ukifanya wewe mwenyewe, kuna programu kadhaa zu kutumika. Hii ni video kutoka IRS inayoeleza jinsi ya kutumia barua pepe. Au unaweza kwenda moja kwa moja kwa tovuti ya “IRS Freefile” ndipo uanze mlolongo.

Every year, workers and businesses have to calculate their income for the year before. Then they figure out how much tax they owe and send their figures to the government. This process is called “filing a tax return.” Many people have already paid their taxes by the time they file their tax return. This is because an amount for taxes is taken from their regular paychecks before they get paid. Sometimes, your tax return may show you’ve already paid too much tax, and the government owes you a refund!

Bahati njema katika uandikishaji wa kodi ya mapato mwaka huu!

Do I need to file a tax return?

Whether you owe taxes or the government owes you, it is your responsibility to know when and how to pay taxes . You must send your tax return for the previous year to the government before April 15 every year. You will send in your tax return on a form printed by the government. The forms are very long and ask for lots of details about your income and expenses.

How do I get help paying taxes?

If you are having a hard time understanding how to pay taxes, do not worry. You can get help. Many community and resettlement organizations offer assistance. If you are a recently resettled refugee, ask for help at your resettlement office.

Even if you are not a refugee, the government has a program to help people who need it. The Volunteer Income Tax Assistance (VITA) program offers free tax help to people who earn $54,000 a year or less, to people with disabilities, and to people with limited English. You can quickly find the nearest help by using the VITA locator. Many places offer help in Spanish, Arabic, Chinese and other languages.

Filing your tax return online

If you prefer to file your own tax return, there are several programs you can use, including the most common one, Turbo Tax. But you do have to pay for Turbo Tax.

You can also go straight to the IRS Freefile website and start the process there.

Learn more

Find help near you

Use FindHello to search for services and resources in your city.

Start your search
Ukurasa huu alimsaidia wewe? Uso Unaocheka Ndio Frown uso La
Asante kwa maoni yako!