Fahamu Haki Yako Ukiwa Mkimbizi Wa Marekani

Kiingereza piaKiingereza hakuna

Wakimbizi, wahamiaji, wakazi wa kudumu wa kudumu (wamiliki wa kadi ya kijani) na wananchi wa Marekani wote wanastahili kutibiwa kwa heshima na heshima. Huko Marekani, sisi sote tuna haki. Taarifa hii ni kukusaidia kujua haki zako za wakimbizi. Chini ya ukurasa huu, utapata viungo vya habari hii katika Nepali, Kisomali, Kifaransa na Kiarabu.

Refugees, immigrants, lawful permanent residents (green card holders) and US citizens all deserve to be treated with dignity and respect. In the USA, we all have rights. This information is to help you know your refugee rights. At the bottom of this page, you will find links to this information in Nepali, Somali, French and Arabic.


Habari hii ina maana ya kuelimisha. Haipaswi kuwa na maoni yoyote ya ushauri wa kisheria. Nia yetu ni kwa watu kuwa tayari na si hofu.

This information is meant to educate you. It should not be in any way considered legal advice. Our intention is for people to be prepared and not scared.

 • Wasio U.S. wananchi, ikiwa ni pamoja na wakazi wa kudumu wa kudumu, wakimbizi na asylees, kwa ujumla wana haki sawa na wananchi.
 • Ikiwa unaamini haki zako zimevunjwa, unapaswa kuzungumza na mwanasheria.
 • Ikiwa wewe au familia yako wanahitaji msaada wa dharura, piga simu 911.
 • Non-U.S. citizens, including lawful permanent residents, refugees and asylees, generally have the same rights as citizens.
 • If you believe your rights have been violated, you should talk to a lawyer.
 • If you or your family members are ever in need of emergency assistance, immediately call 911.

UTANGULIZI

Introduction

Tunaishi kwa wakati mgumu . Seraa hivi karibuni ndihi ya wahamiaje na wakimbizi nchini Marekani zimejenga woga miongoni mwa watu. Kama ambavyo mahakam ilivyoamua dhidi ya sera hizo kuwa kila mmoja anahaki ya kuishi ndani ya nchi hii bila kubagua wahamiaji, wakimbizi, au raia na bila kujali asili zao. Wote tunapaswa tupewe haki sawa kwa mjibu wa sheria. Makala hii imekusudia kuwaelimisha wakimbizi na wahamiaji ili kujua haki zao za msingi katika nchi hii. Makala hii haikusudii kuvijengaea woga vyombo vya dola ya Marekani, ni vizuri kufahamu kuwa idara mbalimbali za serikali zinazosaidia watu katika matatizo mbalimbali zinapatikana nchi nzima, mfono ni idara ya polisi, wauguzi na madakitari, na idara ya zima moto. Tafadhari usisite kupiga namba ya dharura ambayo ni 911.

We are living in difficult times. Recent actions against refugee resettlement, refugees and immigrants in the United States have created fear and concerns for many. Everyone has rights, including refugees, asylum seekers, asylees, immigrants, lawful permanent residents (green card holders), U.S. citizens, and individuals in the United States without status.

KILICHOBADILIKA

We all deserve to be treated with dignity and respect, regardless of where we are from or how we pray. We all have rights. This resource is meant to provide refugees with urgently needed information. You must know your rights in response to the important issues facing our communities. This resource is not intended to create fear of law enforcement entities. It is important to understand that emergency service personnel (police, medical personnel, and firefighters) are available to help any person in an emergency. Always call 911 in an emergency. Know your rights – refugee rights.

Tarehe 27/01/2017 Raisi wa Marekani Donald Trump alitia sahihi sera ya kuzuia wahamiaji kuingia nchini Marekani kwa mda wa miezi minne na kupunguza uandikishwaji wa wakimbizi hadi kufika idadi ya 50,000 mwaka huu. Pia alitia sahihi kwenye sera nyingine inayolenga wahamiaji waishio nchini Marekani, sera zote hizi zililenga ahadi zake alizotoa wakati wa kampeni kuwa atashughulika na uhalifu unaosababishwa na wahamiaji haramu ili hulinda usalama wa raia wa marekani.

Your rights at home

JE, NIOGOPE?

What if federal agents come to my home to talk to me?

Sera na kanuni zimeathili sana watu wengi ambao wanasubiri kuungana na familia zao wanaoishi ugaibuni. Japokuwa sera hizo haziathili moja kwa moja wakimbizi ambao tayari wanaishi nchini Marekani, ni vizuri wakimbizi na wahamiaji wote waendelee kutii sheria za nchi ya Marekani. Haupaswi kutilia mashaka uhalali wako wa kuishi ndani ya Marekani kisheria kama mkimbizi. Wakati raia wa nchi za kigeni ikiwa ni pamoja na wahamiaji halali na wakimbizi wanahesabika kuwa na haki sawa sawa na raia wa Marekani makosa madogo madogo yanayogundulika wakati wa upelelezi wa polisi kwa makundi hayo ya watu inaweza kusababishwa kupoteza uhalali wa kuishi ndani ya Marekani. Ikiwa unasubiri ndugu yako kuhamia nchini Marekani inaweza kuchukua mda kidogo pamoja na kwamba bado utatumia fursa halali ya kuwasilisha maombi ya ndugu yako katika ofisi za uhamiaji.

There have been reports of agents from the Federal Bureau of Investigation (FBI) and/or the Department of Homeland Security (DHS) visiting refugees’ homes to talk to them.

HAKI YAKO NYUMBANI KWAKO

Here is what you can do if someone tries to enter your home:

Kama mawakala wa shirikisho kuja nyumbani kwangu kuzungumza na mimi

Do not open the door

Kumekuwa na taarifa kuwa mawakala kutoka ofisi za shilikisho za upelelezi( FBI) au Idara ya usalam (DHS) kuwatemberea wakimbizi na kuzungumza nao. Ifuatavyo ndo unaweza kufanya kama kuna mtu anajaribu kuingia nyumbani kwako

Immigration enforcement or the FBI can’t come into your home without a warrant. If a warrant is presented, check the date and signature. If it is signed by a judge and the date is valid, you must let them in and can exercise your right to remain silent. If a warrant is not presented, they can only come in if you or someone else invites them in.

· USIFUNGUE MLANGO : Utekelezaji wa Uhamiaji au mawakala za shilikisho za upelelezi( FBI) hawawezi kuja kwako bila kibali. Kama kibali kimetolewa hangalia tarehe na saini. Kama kibali hicho kina saini ya mwanashelia na tarehe ni halali, lazima uwaache waingie ndani ila unaweza kutumia haki yako na kukaa kimya.

Do not speak

· KAA KIMYA: kila kitu chochote utasema kinaweza kutumika dhidi kwako mahakamani. Kwa inchi ya Marekani, una haki ya kukaa kimya na wala kusema chochote kwa polisi. Unaweza kuwaambia kuwa unawasihi marekebisho ya 5( 5th amendment’) na kukaa kumya.

In the USA, you have the right to be silent and not say anything to the police. Anything you say can and will be used against you in court. You can tell the agents, “I plead the Fifth Amendment” and do not speak.

· ITAA MWANASHERIA : Unaweza kupata mwanasheria kwa tovuti au unaweza kutafuta mwanasheria anaishi kwa mji wako.

Call a lawyer

· Usi saini chochote: usi saini chochote kable ya kuongea na wakili.

There are free and low-cost lawyers who can help you. You can find a pro bono lawyer on Immigrationlawhelp.org. And you can contact your local ACLU.

· SIMAMA KWA KUJIAMINI: Tafuta wakili mwaminifu pia shirikisha jamii ili ikutetee. Kama wewe ni kizuizini, unaweza kupata uwezo wa kupata dhamana na kutolewa, usikose matumaini.

Do not sign anything

· Wasio raia wa Marekani, pamoja na halali wakazi , wakimbizi na asylees,kwa ujumla wote wana haki sawa na raia wa Marekani.

Don’t sign your name on any papers without talking to a lawyer.

HAKI YAKO YA KUSAFIRI

Stay strong

Je naweza kusafiri nje ya Marekani nikiwa na hati ya mkimbizi( Green Card)

Get a trustworthy lawyer. Also, ask your community to advocate for you. If you are detained, you may be able to get bail and be released. Don’t give up hope.

Kwasasa Mahakama nchini Marekani imesimamisha kwa mda sera ya kuzuia wahamiaji kutoka kwenye nchi saba ( Iraq, Syria, Iran, Sudan, Somalia, Yemen and Libya) zinazosadikika kuwa za kiislamu, hata hivyo, wahamiaji wanashauriwa kutosafiri kuingia Marekani kwa sababu mda wowote kunaweza kutokea mabadiliko ya kisera. Kuna hatari kubwa ya kusafiri nje ya Marekani kwa ajili ya watu ambao hawana uraia wa Marekani.

Remember: you have the right to choose not to answer any questions.

· Kama wewe ao ndugu yako yuko inje ya Marekani hakikisha unawasiliana na mwanasheria kwanza kabla ndugu yako hajaanza safari ya kurudi Marekni. Msafiri ahakikishe anahati zote za jusafiris ikiwa ni pamoja na pasipoti, Green Card au hati ya ukimbizi ya kusafiri.

Your right to travel

· Mkimbizi asiyekuwa na paspoti au kadi ya kijani ( Green Card) anashauriwa kutpsafiri nje ya Marekani kwa kipindi hiki kwa namna yoyote ile hata lama sio mtu wa inchi saba zilizopigwa marufuku.

Can I still travel outside of the USA with refugee status or a green card?

· Maaskari wa uwanja wa ndege nchini Marekani wanauwezo wa kufanya upelelezi, kuhoji kuhusu uraia wako, hati zako za kusafiria na kupekua mizigo yako

We recommend individuals from six countries – Syria, Iran, Sudan, Somalia, Yemen and Libya – do not travel at this time, unless it is extremely urgent or an emergency.

· Ukiwa utatakiwa kuhojiwa kwenye uwanja wa ndege unayo haki ya kumtafuta mwanasheria wako wa kukuwakilisha, wanasheria wanapatikana uwanja wa ndege bila malipo kwasababu hiyo tu.

 • There is a high risk of traveling outside the USA for individuals who do not have US citizenship.
 • If you or your loved ones are outside the USA and are planning to return, you should contact an attorney here in the USA before embarking on your journey. The person traveling should make sure to have all their documents, including a passport, green card, or refugee travel document.
 • Refugees who do not have a green card or US citizenship should not travel outside of the USA at this time for any reason, even if you are not from the six named countries.
 • Law enforcement officers at the airport and at port of entries have the authority to conduct a “routine search” of all luggage and to ask you questions about your citizenship and travel itinerary. If you are selected for a secondary interview at the airport, you have the right to ask for a lawyer. Many lawyers are making themselves available free of charge for this purpose.
 • If you or someone you know is detained, you can email the International Refugee Assistance Project (IRAP) at airport@refugeerights.org, call your local ACLU, and report your or others’ experience to the American Immigration Lawyers Association (AILA).

· Kama ndugu yako au wewe mwenyewe umezuiwa au kuwekwa nchini ya uangalizi kwenye uwanja wa ndege uma haki ya kuwasiliana na:Airport@refugeerights.org au wapigie ACLU ya na utoe taarifa kwa yaliyokukuta kwa kutumia hii fomu

Remember: If you do travel, you will need to bring your documents with you.

NI HAKI YAKO KUWA SALAMA KWA JUMIUA YAKO

Your right to be safe in your community

Itakuwa je ikiwa mimi ni mwathirika wa unyanyasaji kwa nyumba yangu ao kwa jirani

What if I am a victim of harassment in my home or neighborhood?

Una haki ya kulindwa sawa sawa na raia wa Marekani kwa sababu una una hati ya ukimbizi wa Marekani. Polisi wa mji wako wapo ili kukulinda kama mwanachama wa jumuia. Kama wewe ni mwathirika wa uhalifu unapaswa mara moja kuita polisi ( 911)

 • Your refugee status grants you legal status in the United States, and you have the right to receive the same treatment as US citizens.
 • Your local police are there to serve you as a member of the community and protect you when you need it. If you are the victim of a crime, you should immediately call the police: 911.
 • If you feel that you are in danger, or if someone is making threats against you or your family, do not try to talk to them or confront them. You should immediately call the police by dialing 911.
 • If you are worried about your safety, talk to someone at your refugee resettlement agency or to a lawyer.
 • If you believe you or someone you know has been a victim of a crime or discriminated against because of your religion, nationality, or group membership, you should also report it to the Southern Poverty Law Center (SPLC).

· Kama unajisikia kama uko katika hatari, au kuna mtu anafanya vitisho dhini yako au kwa familia yako, unapaswa kuita polisi( 911) kwa haraka. Wala usikabiliane nao

Remember: call 911 if you or someone you know is in danger.

· Kama una wasiwasi kuhusu usalama wako, zungumza na mtu wa shirika ya wakimbizi au mwanasheria.

· Kama unaamini ao kuna mtu unajua amekuwa mwathirika wa uhalifu au kubaguliwa kwa sababu ya dini yake, taifa, au kundi ya chama unapaswa kutowa ripoti hapa: https://www.splcenter.org/reporthate

Your right to practice your religion

Naweza kusimamia imani yangu na kuitangaza hadharani bila woga wa kukosolewa ?

Can I practice my faith without any fear of being victimized?

Nchi Marekani una haki ya kufanya mazoezi ya dini yako. Una haki ya kuenda kuhudumu na kusikia mahubiri na mihadhara ya dini, kushiriki katika shughuli za jumuia na kuomba katika umma.

You have a constitutional right to practice your religion. You have the right to go to a place of worship, attend and hear sermons and religious lectures, participate in community activities, and pray in public. If you experience religious discrimination or are targeted because of religion, contact the Council on American Islamic Relations (CAIR).

· Kama una hofu ya ubaguzi wa dini au kulengwa kwasababu ya dini, unaweza kuwasiliana na CAIR.

Remember: the law is on your side to protect you.

KUMBUKA : sheria iko upande wako ili ikulinda

Your right to advocate for your community

WAHAMIAJI HALALI WENYE TUHUMU ZA MAKOSA YA JINAI

As a refugee, you are a very important advocate. Your voice can have a great impact because you are a refugee. You have the right to:

· Makosa madogo yanaweza kusababisha kufukuzwa nchini Marekani.

 • Call and meet with elected officials in your town, state, and in Congress to develop a relationship, educate them about your contribution to the community, and seek their support for refugee resettlement and issues you care about.
 • Share your story as a refugee to help transform the public narrative about refugees.
 • Join diverse voices such as resettlement staff, faith leaders, employers, military veterans, other refugee leaders, and supportive community members to take action together.

· Kama wewe hujakuwa raia na umekamatwa au kuhutumiwa na uhalifu, hakikisha wakili wako anaelewa hali yako ya uhamiaji. Maombi na hatia ni kama sehemu ya kujadiliana inaweza kuhatarisha hali yako ya kisheria na inaweza kusababisha kuondolewa.

Remember: your voice matters.

· Kama una rekodi ya uhalifu , unapaswa kulipendekeza na kuripoti kwa mwanasheria wako ili uelewe chaguzo yako yote.

Lawful permanent residents who are accused of crimes

· Kama una uwezo wa kuweka kando uthibitisho wako, inawezekana rekodi yako ikafutwa lakini sheria ni tofauti kwa kila mji, hivyo ni bora kushauriana na wakili wako kuhusu maswali haya.

If you are not yet a citizen and you are arrested or accused of a crime, make sure your lawyer understands your immigration status because minor offenses can result in deportation for non-US citizens. Pleading guilty as part of a plea bargain can jeopardize your legal status and could eventually lead to removal.

HAKI YAKO UNAPOHOJIWA NA OFISA WA SERIKALI

If you have a criminal conviction on your record, it is recommended that you contact a lawyer to understand all your options. If you are able to get a “set aside” or “expunge” your conviction, this could clear your record, but the laws are different in each state, so it is best to consult a lawyer about these questions.

Ofisa wa serikali anayo mamlaka ya kukuhoji, lakini pia unahaki ya kukataa kuhojiwa ikiwa unahisi kuwa mahojiano yatavunja haki zako za msingi, zungumza na mwanasheria wako au msimamizi wako kutoka kwenye shirika lililopewa mamlaka ya kukusaidia uwapo Marekani ili wajue namna ya kukusaidia katika mahojiano.

Remember: talk to a lawyer if you are accused of even a minor crime.

· Unahaki ya kuwa na mwanasheria wa kukusaidia kwenye mahojiano

Your rights if you are interviewed by a federal agent

· Unaweza kuchagua mda na mahali pa mahojiano

Agents from the FBI or DHS may seek to talk with you. You have the right to decline to be interviewed, but this can be viewed with suspicion. Talk to your lawyer or representative from your resettlement agency first about the interview request.

· Unahaki ya kujua aina ya maswali yatakaoulizwa wakati wa mahojiano na kuwa na mtafsiri wako endapo hujui luhga ya mahojiano

If you agree to an interview, you have the right to have an attorney present. You can find legal services from CLINIC or from AILA.

· Sio lazima ujibu maswali yote kama hujisikii kuyajibu

 • You can choose the time and place for the interview.
 • You can request to know what the questions will be at the interview and have an interpreter present.
 • Do not give any false information during your interview. You do not have to answer all the questions you are asked, if you are not comfortable.
 • If you are waiting for your family member to be resettled to the U.S., it may take longer, but they still have the same opportunity to apply for resettlement.

· Kama unamsaidia mwanafamilia mwenzako kumleta Marekani inaweza kuchukua mda kidogo lakini bado fursa na utaratibu wa maombi ya kumleta utafutwa kama kawaida.

Remember: you MUST NOT give false information during your interview. It will be considered a criminal offense and may result in negative consequences.

KUMBUKA : Hautakiwi KUTOA taarifa za uongo wakati wa mahojiano, vinginevyo itahesabika madhara kisheria

Be aware of law enforcement surveillance

UWE MAKINI NA WAPELELEZI KUTOKA KUTOKA VYOMBO VYA SHERIA

Entrapment

MTEGO🙁 Mtego wa fumanizii )

Entrapment is a practice whereby a law enforcement officer induces a person to commit a criminal offense that the person may have otherwise been unlikely to commit. Since undercover agents sometimes may monitor Muslim or immigrant communities, it is important to always maintain situational awareness and consciousness, hold true to your values, and not be lured into activities that could be illegal.

Mtego ni hali ambayo ofisa wa serikali huweka dhini ya mtu ili kujua kama anadhamira ya uhalifu, hufanyika pale ambapo kama mtu huyo asingetegwa maana yake asingefanya kosa hilo, kwakuwa maaskari wa sirini hufuatilia kimyakimya mienendo ya waislamu na wahamiaji ndani ya nchi ya marekani ni vizuri watu wote kuishi kwa dhamira safi ili isiwepo sababu ya kuingizwa kwenye makosa ya jinai

Surveillance

UPELELEZI ( Surveillance)

You and your families may experience some form of surveillance. The purpose of surveillance is to gather information and the techniques can be categorized into three types: covert, overt, and electronic surveillance:

Wewe na familia yako mnaweza kuchunguzwa na serikali, Upelelezi inaweza kufanyika kwa njia kwa njia tatu( a) Njia ya kawaida, hutokea pale ofisa wa serikali anapofuatilia taarifa za mtu kwa kutumia mtu mwingine kwenye familia.

 • Covert surveillance is when the individual is not able to detect someone gathering information on them. This can be done by following the individual from a distance, searching through garbage receptacles left of public property, and using microphones to listen in on conversations.
 • Overt surveillance is visible and is what is being most frequently reported by refugee communities. This type of surveillance can be accomplished by knocking on doors and asking questions, openly talking to neighbors, etc.
 • Electronic surveillance focuses on monitoring internet, website pages, and using listening devices. Overall, surveillance is a legal process used by local, state, and federal law enforcement. The specific laws and regulations vary from state to state and it is advised to speak with a lawyer if you feel you are under surveillance.

b. Njia ya muonekano, hutumika pale ofisa wa serikali anapotumia mahojiano kwa kumhoji mmojammoja ndani ya familia ili kupata taarifa.

Monitoring of internet activities

c. Njia ya utandawazi, hutumika kwa kutumia vifaa vya kitekinolojia kama vile simu na mitandao ya kijamii ili kupata taarifa za mawasiliano yaliyofanyika hapo nyuma. Sheria hutofuatiana kutoka State hadi State nyingine, ni vizuri kuzungumza na mwanasheria ikiwa unahisi kuwa chini ya upelelezi.

Be careful not to visit websites that might hold extremist ideologies or engage in online conversations with others who might hold radical views.

MATUMIZI YA UTANDAWAZI

There is often a generation gap between how parents are accustomed to using the internet and how children or youth use social media. Talk to your children and teenagers about what are appropriate internet sites to visit and what you expect them to avoid. Monitor your children and teenagers’ activity online and encourage them not to visit websites or participate in online activity that could be perceived as problematic. Consider setting guidelines ahead of time or even using software that can restrict their use.

Uwe makini sana na matumizi ya utandawazi, chunga watoto wako wasiweze kufungua tovuti zinazokisiwa kuwa na utata wa kiusalama katika chi ya Marekani, sio vizuri kujadili kwenye mitandao mijadara hasi inayopelekea kuipinga serikali ya Marekani, ni vizzuri kuweka mipaka kwa watoto na vijana wako kwemye matumizi ya intanet ili waweze kufungua tovuti zenye manufaa kwao na kwa taifa. Ikiwa watoto au wazazi watakuwa wanashabikia mitazamo hasi dhidi ya serikali kuna uwezekano wa kuchunguzwa na kupelelezwa na hivyo kujikuta familia hizo zikiwa kwenye matatizo yasiyo ya lazima.

There are apps you can use to help parents track their children’s cell phone activities. You can also find out how to monitor your child’s internet usage and get more advice from Teensafe.

HAKI YAKO YA KUTETEA JUMUIA YAKO

Remember: it is important to be careful about what websites you visit. Do not visit sites with extremist views because the government could think you are connected to terrorism.

Sera ya serikali imeathili sana familia za wakimbizi wengi, kama mkimbizi wewe ni mtetezi mzuri kwa wenzako, sauti yako inaweza kuwa na matunda mazuri kwasababu wewe ni mkimbizi.

Additional information and resources

Una haki ya

There are many organizations that offer helpful information and resources about your rights and ways to keep yourself, your family, and your community safe. Unfortunately, there are also rumors and false information circulating on social media and online communities, as well as scams that seek to take advantage of refugees and other immigrants. Please make sure that you seek information from credible sources, especially when searching for information online.

· Wito na kukutana na viongozi wamechaguliwa kuongoza kwa mji wako, serikali na kwenye bunge kuendeleza uhusiano, kuwaelimisha kuhusu mchango wako katika jumuia na kuomba msaada wao kwa wakimbizi na mambo mengine yenye kulitiwa umhimu.

Do you want to read and download this information in your own language? Please select your language below.

· Adhitia maisha yako kama mkimbizi ili uweze kusaidia kubadilisha simulizi za wakimbizi

Download this information in other languages

· Jiunge na vikundi mbalimbali kama vile wafanyakazi makazi mapfya, viongozi wa imani, waziri, Vetarans wa kijeshi, viongozi wa wakimbizi na wanachama wa jamua kuunga mkono na kuchukua hatua kwa pamoja.

We prepared these materials in partnership with Church World Services (CWS). CWS has posted the information in four other languages:

MAELEZO YA ZIADA & RASILIMANI


Kuna mashirika mengi ambayo anatoa habari na manufaa kuhusu haki na njisi ya kujiweka mwenyewe,kuweka familia yako salama na jamii. Kwa bahati mbaya, pia kuna uvumi na taarifa za uongo zinazozunguka kwenye mitandao, kama vile scams ambayo inataka kuchukua faida ya wakimbizi na wahamiaji wengine. Tafadhali hakikisha kwamba unatafuta taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika hasa wakati unatafuta habari kwa mitandao.

Thank you to Church World Service for preparing these materials to help refugees KNOW YOUR RIGHTS.

USAHello does not give legal advice, nor are any of our materials intended to be taken as legal advice. If you are looking for a free or low-cost lawyer or legal help, we can help you find free and low-cost legal services.

Find help near you

Use FindHello to search for services and resources in your city.

Start your search
Ukurasa huu alimsaidia wewe? Uso Unaocheka Ndio Frown uso La
Asante kwa maoni yako!