Shule ya umma ni nini?

Kiingereza piaKiingereza hakuna

Shule katika Amerika

In every state in America, children have a right to education. Public school is free school available to all citizen and non-citizen children. Learn about public school and other kinds of school in the USA.

You can help your child get a good education in the United States through public school.
Unaweza kumsaidia mtoto wako kupata elimu nzuri nchini Marekani kupitia shule ya umma.

You can help your child get a good education in the United States through public school.

Shule za umma ni shule bure inapatikana kwa watoto wote katika Marekani.

Read about the school system and the different types and levels of school. Learn how to register your children for school and help them do well. Meet the people who work at public schools and understand what they do and how they can help your child

Ni aina gani za shule zilizopo?

Elimu ya watoto wachanga

Education law says everyone has a right to free education. Students have the right to wear a hijab and to pray. You have a right to interpreters when you talk to your children’s school. Learn about education law in the USA and your education rights.

Elimu ya mapema ni neno ambalo linatumiwa kuzungumza juu ya watoto wadogo wanapofunuliwa elimu. Hata wakati mtoto wako ni mtoto, ni muhimu kuwasaidia kusoma, kuimba nao na kuwasaidia kujifunza lugha yako ya kwanza na Kiingereza. Kuna utafiti ambao unaonyesha watoto ambao wanaelewa lugha mbili, wanazungumza lugha mbili au zaidi, wana faida zaidi kuliko watoto wanaozungumza lugha moja tu. Vituo vya elimu ya watoto wachanga na vituo vya huduma ya siku za watoto vinapatikana kwa watoto wachanga kupitia watoto wenye umri wa miaka minne au tano.

Shule ya mapema

In the USA, public school starts between the age of 4 and 6 and continues until 16 to 18 years old. But you can send your children to pre-school at an early age. Learn about the different levels of school. Read about school placement.

Kipindi cha shule husaidia watoto (umri wa miaka mitatu na wanne) kuendeleza. Inawasaidia wawe tayari kwa shule katika umri wa miaka mitano au sita. Chaguo moja kwa ajili ya shule ya mapema inaitwa “Head start”. Watoto walio na umri wa shule ya mapema wanaotoka kwa familia walio na mapato ya chini wanaweza jiandikisha kwa “head start” “Head start” ni shule ya kwanza ya gharama nafuu inayoendeshwa na serikali. Unaweza tafuta programu ya Head Start iliyo karibu nawe

Shule ya Msingi

To start your child at school in the USA you must first register your child as a student. This means you need to visit the school and sign papers so the school can accept your child. Learn what papers you need and about how your child is accepted. Read about school food and school requirements. Learn what to do if your child is absent and how to get to school.

Watoto huanza shule ya msingi na chekechea (K) na umri wa miaka mitano na kuendelea kwa daraja la tano au sita. Wanakamilisha shule ya msingi wakiwa na umri wa miaka kumi au kumi na moja watoto hujifunza masomo mengi kutoka kwa mwalimu mmoja kwa darasa moja

Shule ya kati (pia inajulikana kama shule ya chini ya sekondari)

Many people work in American school. There are teachers, of course, but there are other people too who are there to help your child. Learn about some of the people you will meet at your child’s school.

Shule ya kati inafundisha wanafunzi wa darasa la sita hadi nane. wao ni karibu miaka kumi hadi kumi na nne Wanafunzi wa shule ya kati hubadilika madarasa kila wakati. Wanaweza kuwa na walimu wengi tofauti katika siku moja ya shule

sekondari

Schools in the USA do more than provide lessons. Schools and other organizations offer other great opportunities, such as field trips, outside activities, events, after-school programs, and summer camps. Find out how to help your child participate in school activities.

Wanafunzi huhudhuria shule ya sekondari kati ya umri wa miaka 14 na kwa kawaida 17 au 18. Madarasa yanapangwa kulingana na masomo. mwanafunzi aweza kuwa na walimu wengi tofauti katika siku moja ya shule Wanafunzi wengine wanaweza kuchukua madarasa ya juu Wanafunzi wengine wanaweza kuchukua madarasa ambayo huwaandaa kwa kazi au kwa chuo. Shule za sekondari zina vilabu, shughuli, michezo, mipango ya kufanya kazi, na shughuli nyingine.

Ni nani anayefundisha shuleni?

Starting school is both exciting and hard. You will need to help your child in school. Learn how to support your children in their school life and help them succeed. Find out about tutoring support for your child.

Watu ambao unaweza kukutana nao shuleni:

Does my child have to go to public school?

Walimu

Children must go to school in the United States. If you do not send your children to school, you can get in trouble.

Walimu ni watu ambao wajibu wao ni kuelimisha wanafunzi. Wanaongoza shughuli za mafunzo katika madarasa Nchini Marekani, familia zinaonyesha heshima kwa walimu kwa kufanya kazi na walimu kuelimisha na kuwasaidia watoto wao.

You can choose what type of school to send your children to. Most children go to public school because it is free.

Wasaidizi

Are there other kinds of school?

Katika shule nyingi, wasaidizi husaidia walimu katika madarasa. Madarasa mengine yana wasaidizi wengi ilhali mengine hayana, kulingana na mahitaji ya wanafunzi ndani ya darasani. Wasaidizi wanaweza kuwasaidia mwanafunzi ambao wanajifunza Kiingereza. wasaidizi wanaweza saidia vikundi vidogo vya wanafunzi kukamilisha kazi zao

In the USA, there are other ways to educate children instead of public school.

Mkurugenzi

Private schools

Mkurugenzi ni msimamizi mkuu katika shule. Mkurugenzi ana wajibu wa kusimamia walimu wote katika jengo la shule Mkurugenzi ni kiongozi wa walimu Mkurugenzi hawafundishi wanafunzi. Badala yake, mkurugenzi husaidia walimu, husaidia kwa nidhamu, na huongoza shule. Katika shule kubwa, pia kuna makamu wakurugenzi. Makamu wa mkurugenzi mkuu husaidia mkurugenzi Nchini Marekani, ikiwa mzazi ana shida na mwalimu, mara nyingi wazazi huzungumza na mkurugenzi mkuu.

There are private schools that students must pay to attend. Many private schools are managed by churches or religious organizations. Each private school has different costs. Some are very expensive. But some have scholarships to help children go to the schools if they family does not have enough money to pay for the private school. Private schools often have different rules than public schools.

Washauri

Charter schools

Washauri wa shule husaidia mahitaji ya wanafunzi, ya kibinafsi, ya kijamii na ya maendeleo ya kazi. Washauri wa shule huongoza mipango inayowasaidia wanafunzi kufanikiwa shuleni. Washauri wanaweza kuwa na manufaa sana kwa familia za wakimbizi. Washauri wanaweza kusaidia mwanafunzi wako kuzoea shule yao mpya Washauri wanaweza kujua kuhusu programu maalum za wanafunzi walio wakimbizi. Washauri wakati mwingine pia husaidia kwa afya ya akili na kimwili. Mshauri ni mtu mzuri wa kuzungumza naye shuleni ikiwa unadhani mwanafunzi wako anahitaji msaada zaidi.

Another type of school is a charter school. Charter schools are free. Charter schools meet the same academic and legal requirements as traditional public schools, but they have different operators than public schools, which are operated by the government. Charter schools do not have to follow some all the rules that public schools must follow. Your child will need to apply to enroll, and many charter schools have a waiting list.

Wauguzi

Home schooling

Wauguzi hufanya kazi katika shule ili kuwaweka wanafunzi salama na wenye afya. Ikiwa mwanafunzi anahisi mgonjwa, mwalimu anaweza kuwatuma kwa muuguzi. Ikiwa mwanafunzi ni mgonjwa, muuguzi anaamua kuwatuma nyumbani mpaka wakati watakapohisi vizuri. Nchini Marekani, kutunza afya ya akili ya wanafunzi ni sehemu muhimu ya kwenda shule. Wakati mwingine, wanafunzi wana wakati mgumu katika darasa kwa sababu wana wakati mgumu kuzoea maisha huko Marekani. Wanahitaji msaada wa zaidi kwa sababu kuja Marekani kutoka nchi tofauti ni ngumu sana. Wauguzi wanaweza kusaidia wanafunzi ambao wana shida kuzoea.

Home schooling is another method of education. Home-schooled students are taught by their parents. There are rules in every state about home schooling. The parent is responsible for knowing the state’s rules for home schooling and for making sure the rules are followed.

Waandishi/karani/katibu

Learn more

Karani wa shule husaidia mkurugenzi mkuu na mara nyingi anafanya kazi katika ofisi kuu ya jengo la shule. Unapokuja shule ya mtoto wako, unaweza kuhitaji kusaini karatasi ili uingie. Hii inasaidia kuweka wanafunzi salama. Katibu atakusaidia kuingia. Katibu anaweza kukuonyesha ni mahali ipi unafaa kuenda. Ukihitaji msaada kujiandikisha shuleni, katibu atakusaidia. Shule zingine zinakuhitaji kusaini karatasi ya kuchukua mtoto wako nyumbani kutoka shuleni mapema. Katibu atakusaidia kusaini ili ukachukue mtoto wako. Hii ni kumlinda mtoto wako salama. Wanaweza tu kwenda nyumbani na mtu mzima aliyeaminika.

Msimamizi

Find help near you

Use FindHello to search for services and resources in your city.

Start your search

Msimamizi anangoza wakurugenzi wakuu na mashule wasimamizi wanaamua maamuzi juu ya sera, mtaala (kile wanafunzi wanajifunza katika darasa), na sheria za wilaya Kwa sababu wasimamizi wanafanya kazi na shule nyingi, huenda wasiwe katika jengo moja la shule kama mtoto wako.

Ukurasa huu alimsaidia wewe? Uso Unaocheka Ndio Frown uso La
Asante kwa maoni yako!