Jaribio la GED®linahusu nini?

Kiingereza piaKiingereza hakuna

Je! Ni nini kwenye mtihani wa GED ®? Njia bora ya kuandaa mtihani wako ni kujua kile kilicho kwenye mtihani wa GED ®. Hapa kuna habari unayohitaji kujua juu ya jaribio la GED ®.

What is on the GED® test? The best way to prepare for your test is to know what is on the GED® test. Here is the information you need to know about what is on the GED® test.

What is on the GED test

Je? Ninatarajie nini?

What should I expect?

Haya ndio unaweza kutarajia:

What is on the GED® test? This is what you can expect:

 • Utaenda katika kituo cha jaribio kufanya jaribio ya GED®.
 • Hauwezi kufanya jaribio la GED®katika mtandao.
 • Utafanya jaribio katika kompyuta.
 • Unaweza kufanya jaribio katika lugha ya Kiingereza au Kihispania.
 • Jaribio lina sehemu nne, kila sehemu inahusu maudhui yake (somo).
 • You will go to a testing center to take the GED® test.
 • You cannot take the GED® test online.
 • You will take the test on a computer.
 • You can take the test in English or Spanish.
 • The test has 4 parts, one for each content area (subject).

Jaribio lote huchukua muda wa kati ya masaa 7 hadi 8, lakini unaweza kufanya sehemu hizo nne katika siku tofauti kwa muda wa miaka miwili. Hili ni bora kwa wafanyakazi walio na shughuli nyingi na kwa wazazi pia. Inamaanisha unaweza kuamua kusomea kila somo kwa muda wa miezi nane, au somo moja baada ya lingine. Au unaweza kufanya jaribio la masomo ambazo tayari unajua kisha utumie muda wako kusomea masomo yale magumu.

The whole test takes between 7 and 8 hours, but you can take the 4 parts on different days over a 2-year period. This is good for busy workers and parents. It means you can choose to study for each part of the test for up to 8 months, one part after the other. Or you can take the parts you already know, and then use your time to study for the harder parts.

Nitajuaje niko tayari kufanya jaribio?

How do I know if I am ready to take the test?

Unaweza kufanyamazoezi yetu ya bure ya mtandaoili kuona kama uko tayari.

You can take our free online practice tests to see if you are ready.

Je? Maswali ni ya aina ngapi?

What are the questions like?

Jaribio la GED® liko na aina tofauti ya maswali. Ili kufaulu jaribio hilo, unafaa kutoa majibu sahihi katika maswali mengi. Hii ni aina ya maswali

What is on the GED® test? The GED® test has different types of questions. To pass the test, you have to give the correct answer most of the questions.

Maswali ya chaguo kadhaa

Multiple-choice questions

Maswali ambayo unatakiwa kuchagua jibu moja kati ya majibu mengi Maswali mengi katika jaribio hilo yatakuwa ya aina hii. Katika maswali haya unatakiwa kuchagua jibu moja kati ya majibu mengi. Swali linaweza kuwa linahusu kifungu, au picha au ramani. Linaweza kuwa mchoro unaojumuisha chati, jedwali au grafu. Chini ya kifungu au picha hiyo kutakuwa na swali na kisha orodha ya majibu, namna hii. Utachangua jibu sahihi kwa kubonyeza katika duara.

Most of the questions on your test will be multiple-choice questions. A multiple-choice question gives you a choice of answers. The question might be about text, or it could be about a picture or map. It might be a diagram, including a chart, table, or graph. Below the text or image will be a question and then a list of answers, like this. You choose the right one by clicking a circle.

Jambo nzuri kuhusu maswali haya ni kuwa jibu liko mbele yako. Unafaa kufikiria ni ngani. Ili kufanya hivyo, unahitaji kuangalia kwa makini maelezo uliyopewa. Pia, soma swali kwa makini. Inaweza kukuchanganya kidogo – kwa mfano, inaweza kuuliza, ni jibu ngani ni sahihi?

example multiple choice question

Aina nyingine ya maswali

The good thing about multiple-choice questions is that the answer is always there in front of you. You just have to figure out which one it is. To do this, you need to look carefully at the information you are given. Read the question very carefully, too. It might trick you a little bit – for example, it could say, Which answer is not true?

Jaribio la GED® liko na maswali mengine madogoya miundo mwingine. Haya ni:

Other types of questions

 • Vuruta na uangushe
 • Kujuzi
 • Jaza pengo
 • Mahali pa intaneti

The GED® test has a few other question formats. They are:

Zijaribu!

 • Drag-and-drop
 • Drop-down
 • Fill-in-the-blank
 • Hot spot

Jaribuaina hizi za maswali ya GED® ambazo utaona katika jaribio.Utaweza kumaliza aina ya maswali yote ikiwa utafanya mazoezi kabla ya wakati wa jaribio kufika!

Try them out!

Kuandika Maswali

Try out all these GED® question types you will see on the test. You will be able to complete all of the question types if you practice ahead of time!

Mtihani wa GED ® ni pamoja na swali la “majibu ya kupanuliwa” katika fani ya sanaa ya lugha (kusoma na kuandika). Utalazimika kuandika insha juu ya mada uliyopewa. Itakuwa insha fupi ya aya 4 hadi 7 (aya ina maana zaidi ya sentensi moja).

Writing questions

Wajaribu wanataka kuona kwamba unaweza kuelewa habari, kukuza wazo au maoni, toa mifano, na uandike wazi juu ya mawazo yako. Pia wanataka kuona kwamba unaweza kuandika Kiingereza kwa usahihi na tumia kompyuta kuwasilisha uandishi wako.

The GED® test includes an “extended response” question in the language arts (reading and writing) section. You will have to write an essay about a topic you are given. It will be a short essay of 4 to 7 paragraphs (a paragraph means more than one sentence).

Masomo/mada ni ngani?

The testers want to see that you can understand information, develop an idea or opinion, give examples, and write clearly about your thoughts. They also want to see that you can write English correctly and use the computer to present your writing.

Kuna maeneo manne ya maudhui (masomo) katika jaribio la GED®: Somo la jamii, Sayansi, Hisabati (kifupi hesabu) na Sanaa ya lugha (kusoma na kuandika).

What are the subjects?

Sanaa ya Lugha (kusoma na kuandika)

There are 4 content areas (subjects) on the GED® test: social studies, science, mathematics (math for short), and language arts (reading and writing).

Jaribio la GED® la Sanaa ya lugha (kusoma na kuandika) hukupima jinsi unavyoelewa unachokisoma, ikiwa unaweza kuandika kwa usahihi na jinsi unavyoeleza mawazo yako.

What is on the GED® test: Language arts (reading and writing)

Jaribio la GED® la Sanaa ya lugha huchukua muda ya dakika 150, zikiwemo dakika 10 za mapumziko. Kuna sehemu tatu:

The GED® language arts (reading and writing) test measures how well you understand what you read, if you can write correctly, and how well you can explain your ideas.

 • Kusoma – dakika 60
 • Kuandika (lugha) – dakika 35
 • Kuandika (kifungu) – dakika 45

The GED® language arts test is 150 minutes long, including a 10-minute break. It has three sections:

Sehemu ya jaribio ya kusoma itapima uwezo wako wa kuelewa na kujibu maswali kutoka kwa kifungu. Kifungu hicho kinaweza kuwa kimetolewa kwa hotuba, barua, kifungu cha gazeti au kifungu cha kitabu. Sehumu ya jaribio ya kuandika (lugha) itakuuliza maswali kuhusu njia sahihi ya kuandika Itapima kuelewa kwako kwa sarufi. Sehemu za kwanza mbili huwa na aina ya maswali yakuchagua jibu kutoka kwa majibu mengi na aina nyingine ya maswali rahisi. Katika sehemu ya tatu, unahitajika kuandika kifungu/insha.

 • Reading – 60 minutes
 • Writing (language) – 35 minutes
 • Writing (essay) – 45 minutes

Hauhitaji kujua ukweli wowote ili kufaulu jaribio la Sanaa ya lugha. Unahitaji kuonyesha kuwa unaelewa unachokisoma kwa kujibu maswali na kwa kuandika kiingereza sahihi. Jifunzezaidi kuhusu jaribio la Sanaa ya lugha.

The reading part of the test will test your ability to understand and answer questions from a piece of text. The texts might be from a speech, a letter, a newspaper article, or a passage from a book. The writing (language) part of the test will ask you questions about correct ways of writing. It will test your understanding of grammar. The first two sections use multiple choice, and other simple question types. The third section requires you to write an essay.

Masomo ya jamii

You don’t need to know any facts to pass the language arts test. You need to show that you understand what you are reading by answering questions, and that you can write correct English. You can learn more about the language arts test.

Jaribio la GED® la somo la jamii hupima kuelewa kwako kwa historia, uchumi and geografia ya US na masuala ya dunia pia.

What is on the GED® test: Social studies

Watahini wanataka kuona kama uko na maarifa ya msingi kuhusu US na uchumi na geografia ya ulimwengu. Jaribio hili hupima uwezo wako wa kuelewa na kutafsiri ujumbe zaidi kuliko linavyopima maarifa yako kuhusu kujua ukweli.

The GED® social studies test measures your understanding of the history, economics and geography of the United States, and of some world issues too.

Jaribio la GED® la Somo la jamii huchukua muda ya dakika 70. Huwa na aina tofauti za maswali yakiwemo maswali ya kuchagua jibu kutoka kwa majibu mengi, vuruta na uangushe, mahali pa intaneti na kujaza pengo. Maswali hayo yanahusu uraia na serekali (50%), historia ya US (20%), uchumi (15%) na geografia na ulimwengu (15%). Jifunze zaidi kuhusu jaribio la somo la jamii.

The testers are looking for some basic knowledge of the United States and the world economy and geography. The test measures your ability to understand and interpret information more than it measures your knowledge of facts.

Hesabu

The GED® social studies test lasts 70 minutes. It uses several different question types, including multiple choice, drag-and-drop, hot spot, and fill-in-the-blank. The questions are about civics and government (50%), United States history (20%), economics (15%), and geography and the world (15%). You can learn more about the social studies test.

Jaribio la GED® la hesabu litapima kuelewa kwako kwa aina nyingi za hesabu. Hii ni pamoja na: kutatua/ kujibu maswali ya aljebra, utaratibu wa utaratibu, kuchambua data, uwezo wa kuelewa hesabu na uwezo wa kufikiria kwa ubunifu.

What is on the GED® test: Math

Uwezo kwa kufikiria kwa ubunifu ina maana ya uwezo wako wa kuelewa na kujibu maswali kuhusu ujumbe ulio mbele yako. Jaribio nyingi hutumia ujuzi wa hesabu msingi na ujuzi wa kufikiria kwa ubunifu. Mada zingine za kiwango cha juu zitakuwa katika maswali machache katika jaribio lote.

The GED® math test will measure your understanding of several kinds of mathematics. These include solving algebra problems, procedural skills, data analysis, number sense and reasoning skills.

Jaribio la GED® la hesabu litachukua muda wa dakika 115 na liko na sehemu mbili:

Reasoning skills means your ability to understand the information in front of you and answer questions about it. Most of the test will use just basic math skills and reasoning skills. The more advanced topics will be covered in just a few questions out of the whole test.

 • Sehemu ya 1 (maswali 5-7 ya kwanza) – hauruhusiwi kutumia kikokotozi
 • Sehemu ya 2 (maswali yaliyobaki – karibu 40) – unaruhusiwa kutumia kikokotozi

The GED® math test is 115 minutes long and has two parts:

Wanafunzi ni lazima wajibu maswali ya kwanza ambayo (hawaruhusiwi kutumia kikokotozi) kabla ya kuendelea na maswali yaliyobaki. Jifunzezaidi kuhusu jaribio la hesabut.

 • Part 1 (first 5–7 test questions) – a calculator is not allowed
 • Part 2 (remaining test questions – about 40) – a calculator is allowed

Tanzama video kuhusu jinsi ya kutumia kikokotozi cha skrini cha jaribio la GED®.

Students must submit their answers to the first questions (calculator not allowed) before moving on to the rest of the test. You can learn more about the math test.

Watch a video about how to use the on-screen GED® test calculator

Sayansi

Jaribio laGED® la sayansi hupima kuelewa kwako kuhusu baadhi ya mambo msingi ya kisayansi. Jaribio lako litalenga mada za kisayansi: Maisha ya sayansi, sayansi asilia, nasayansi ya dunia na anga. Pia, litapima maarifa yako kuhusu jinsi wanasayansi hubuni mawazo (mbinu ya kisayansi).

What is on the GED® test: Science

Jaribio laGED la sayansi huchukua muda ya dakika 90. Liko na maswali 34 ambayo ni ya aina nyingi na tofauti ikiwemo, maswali ya kuchagua jibu kutoka kwa majibu mengi, vuruta na uangushe, mahali pa intaneti na kujaza pengo. Katika maswali mengi, utaulizwa kusoma kifungu rahisi cha sayansi kisha ujibu maswali. Pia, tarajia kuona jedwali na chati nyingi na pia kujibu maswali yake. Unaweza kutumia kikokotozi kujibu baadhi ya maswali ikiwa utapendelea. Jifunzezaidi kuhusu jaribio la sayansi.

The GED® science test measures your understanding of some basic scientific ideas. Your test will focus on certain areas of science: life science, physical science, and earth and space science. It also tests your knowledge of how scientists develop ideas (the scientific method).

Nina maswali kuhusu jinsi ya kufanya jaribio la GED® katika jimbo langu.

The GED® science test lasts 90 minutes. It has 34 to 45 questions using several different question types, including multiple choice, drag-and-drop, hot spot, and fill-in-the-blank. Many questions will ask you to read a simple scientific text and answer questions. You can also expect to see a lot of tables and charts and to answer questions about them. You may use a calculator for some of the questions if you want to. You can learn more about the science test.

I have questions about how to take the GED® test in my state.

Nitafanya nini?

What should I do next?

Tuko hapa kukusaidia ufaulu!

Jifunze zaidi

We are here to help you succeed!

Find help near you

Use FindHello to search for services and resources in your city.

Anza utafutizi wako

Finish school and earn your GED®

Free online GED® preparation course

Finish your education
Ukurasa huu alimsaidia wewe? Uso Unaocheka Ndio Frown uso La
Asante kwa maoni yako!