Vitendo vya kufanya kama mtu anakutisha

Kiingereza piaKiingereza hakuna

Vitendo vya kufanya kama mtu anakutisha: Maarifa yenye kuwasaidia wakimbizi wanaohisi kutishwa.Nchini Marekani wakimbizi wengi pamoja na jumuiya za wahamiaji wanahisi kuonewa na kutishwa.Hapa kuna vitendo kumi unavyoweza kufanya kama unahisi kuogopa au kutishwa.

Information to help refugees and immigrants stay safe. In the United States, many refugee and immigrant communities are feeling scared and threatened. Here are 10 things you can do if someone is threatening you.

What should I do if someone is threatening me?

What should I do if someone is threatening me?

1) Piga simu polisi nambari 911. Subiri kuitikiwa.

1) Call the police: 911. Stay on the phone.

Tunafahamu jumuiya nyingi za wakimbizi na za wahamiaji wanaogopa polisi. Hata hivyo kama wewe unatishwa, kitendo kinachofaa zaidi kuliko vyote ni kupiga simu polisi. Kama wewe unaogopa kupiga simu, mwomba mtu mwingine hata kama humfahamu akupigie simu polisi.

We know many immigrant and refugee communities are afraid of the police. However, if you are being threatened, the most important thing you can do is call the police. If you are too afraid to call, you can ask a stranger to call the police for you.

2) Wakati unapoongea na polisi kwa simu.

2) While you are still on the phone with the police, text a friend or relative.

Tuma ujumbe kwa njia ya simu ya kiganjani “teksti” kwa jamaa au rafiki waeleze uko wapi na hali ilivyo kwako.

Tell them your location and what is happening.

3) Tulia, pole pole watoke wale wanaokusumbua au wanaokutisha.

3) Try to stay calm. Slowly move away from the person or people who are threatening you.

Usijaribu kuwatuliza. Kufanya hivyo kunahatarisha hali ilivyo.

Do not tell the person to calm down. This makes things worse.

4) Kumbuka, watu wanaotisha watu wengine na kuwabagua akili zao si timamu.

4) Remember, people who are being racist or violent are not rational. Do not talk to them or explain anything to them.

Usizungumza nao wala kujaribu kuwaeleza lolote. Mara nyingine unaweza kuzungumza na mtu usiyemfahamu na kumwelimisha kuhusu maono yake mabaya. Unapohisi kuogopa jitahidi kupata usalama.

There may be times you can have a conversation with a stranger and help educate them about their misconceptions. When you are feeling scared or threatened, you should focus on your safety.

5) Kama unaongea Kiingereza, sema Kiingereza na watu walio karibu nawe.

5) If you speak English, speak in English to those around you.

Watu ambao hawana maana na vurugu wanaweza kufikiria kuwa unasema juu yao ikiwa unasema kwa lugha nyingine.

People who are being irrational and violent may think you are talking about them if you speak in another language.

6) Mwomba mtu aliyekaribu nawe msaada.

6) Ask another person near you for help.

Maadam umekuwepo Marekani muda mfupi, pengine unaogopa kuomba msaada. Lakini utafiti unaonyesha ya kwamba watu katika kundi watakupa kisogo. Hata hivyo ukimwuliza mtu akiwa peke yake atakusaidia. Mjie ukimweleza unahisi kuogopa. Tafuta mtu unayeonana naye au anatabasamu kwako.Kama mtu wa kwanza anakupa kisogo tafuta mtu mwingine.

As a newcomer, you may feel afraid to ask for help. Research shows people do not respond in groups, but if you ask a single person for help, they will help you. Tell them you feel afraid and move closer to them. Look for someone who is watching or smiling at you. If the first person you ask does not respond, ask another person.

7) Kama upo peke yako, jaribu haraka iwezekanavyo kwenda kwenye mahali pa watu wengi.

7) If you are alone, try to go as quickly as possible to a public place.

Jaribu kukaa katika eneo na watu wengine mpaka uhisi salama.

Try to stay in an area with other people until you feel safe.

8) Kama yule anayetisha anakujia huku ukihisi kuogopa piga makelele mwambie asimame pale alipo asikukaribie.

8) If the person is coming closer to you and you feel afraid, yell loudly.

Waambie wasiwe mbali na wewe.

Tell them to stay away from you.

9) Baada ya kupata usalama, wataarife polisi. Kuna njia kadha za kutuma taarifa ya yaliyotokea.

9) After you are safe, report the incident.

Kuna njia kadhaa unaweza kutoa ripoti ya kilichotokea:

There are several ways you can report what happened:

  • Unaweza kupiga simu kwa nambari isiyo ya dharura katika jimbo lako. Katika majimbo karibu yote nambari hiyo ni 311.
  • Unaweza kuandika barua pepe kwa Southern Poverty Law Center
  • Kama ulikuwepo kwenye duka, soko au mahali pengine pa kibiashara, toa taarifa kwa yule anayesimamia.
  • Kama ulikuwa abiria katika basi au treni ya chini ya ardhi toa taarifa kwa yeyote anayefanya kazi pale.
  • Pia, toa taarifa kwa serikali ya mji au ofisi ya meya.
  • You can report it to the police non-emergency line in your state. In most states, this number is 311.
  • You can report it to the Southern Poverty Law Center.
  • If you were in a place of business when it happened (a store, for example) report it to the business.
  • If you were on a bus or subway or train, report it to the transit company.
  • You should also report the information to your local government or city mayor’s office.

10) Wafahamishe wadau wa jumuiya yaliyotokea ili waite mkutano na polisi kuomba kuongeza idadi ya polisi katika mtaa wako.

10) Tell leaders in your community about what happened.

Ni muhimu kuarifu magazeti, shule na vyama vya jumuiya ili waweze kusambaza habari hatari ijulikane.

They can request meetings with the local police and local elected officials to make them and the public aware of incidents targeting your community.

Habari hii inakusudiwa kuwaelimisha watu ambao wamekuwepo Marekani muda mfupi kuwasaidia kuwa tayari kujitetea dhidi ya matukio ya ubaguzi na chuki Marekani. Habari hii isije kuonekana au kuelewa kuwa mashauri ya kisheria.

It is also important to tell the media, schools, and organizations in the community about these events so they can report what is happening and build awareness.

Endapo unahitaji mashauri ya kisheria, tumia anuani iliyopo juu kupata mwanasheria asiye na gharama au gharama yabei nafuu.

Learn more

This information is meant to educate newcomers and help them feel prepared when they feel threatened in the United States. It should not be in any way considered legal advice. If you do need legal advice, learn about finding a free or low-cost lawyer here.

Ukurasa huu alimsaidia wewe? Uso Unaocheka Ndio Frown uso La
Asante kwa maoni yako!