Unachofaa kufanya mtu akifariki

Kiingereza piaKiingereza hakuna

Ninahitaji nini ili watoto wangu waende shule ya umma nchini Marekani? Kujua cha kufanya ikiwa unataka kuondoka kwa sababu jamaa wa familia yako akifariki au kufa katika nchi nyingine.

Learn the steps you need to take when someone dies in the USA. Find out what to do if you wish to leave because a member of your family dies or is dying in another country.

candle - when someone dies

candle - when someone dies

Nchini Marekani, watu wengi hufa katika hospitali au nyumba za uuguzi. Wauguzi na madaktari watajua cha kufanya mtu akifa. Wao huuliza maswali kukuongoza na kukusaidia kufanya maamuzi. Wamarekani wanaweza kusema “kuaga” au “kufariki” badala ya “kufa.” Wanaweza kutumia maneno “hayati” au “mpendwa wako mmoja” au “mwili wa wafu” wakizungumzia kuhusu mwili.

In the USA, most people die in a hospital or nursing home. The nurses and doctors will know what to do when someone dies. They will ask questions to guide you and help you make decisions. Americans may say “passed away” or “passed” instead of “died.” They may use the words “the deceased” or “your loved one” or “remains” when they talk about the body.

Mtu akifa nyumbani

When someone dies at home

Mtu akifa nyumbani kutokana na ugonjwa, unaweza kuwa na mtunzi wa nyumbani au mfanyakazi wa faya kukusaidia. Huna haja ya kufanya kitu chochote hadi utakapokuwa tayari. Unaweza kuchukua muda unaohitaji kwa sherehe ya kidini, desturi au maandalizi. Wafanyakazi wa afya wanaweza kutangaza kifo rasmi na kujaza fomu.

If someone dies at home from illness, you may have a hospice or medical worker to help you. You do not need to do anything until you are ready. You can take the time you need for any religious ceremony, custom or preparations. The medical workers can make the official death pronouncement and fill in the forms.

Mtu akifa ghafla

When someone dies suddenly

Kama mtu akifa ghafla, unahitaji kupiga simu ya 911 kuripoti kuwa kumekutokea kifo Afisa wa polisi au mfanyakazi wa dharura atakuja. Watataarifu mkaguzi wa miili. Mkaguzi wa miili ni mtu ambaye anakagua mwili na kutambua au kuthibitusha jinsi mtu alikufa.Jinsi ya kushughulikia kifo cha ghafla

If a person dies suddenly, you will need to call 911 to report that there has been a death. A police officer or emergency worker will come. They will tell the medical examiner. A medical examiner is someone who looks at the body and figures out or confirms how the person died. You can read more about how to handle an unexpected death.

Kupata Cheti cha kifo

Getting a death certificate

Mkaguzi wa Miili ataanzisha cheti kuandikisha kifo. Cheti cha kifo kitachukua wiki moja au zaidi kufika. Maafisa wengi watakuuliza nakala ya cheti cha kifo. Huenda haja ya nakala 10 za cheti kifo.Jinsi ya kuagiza vyeti vya ziada vya kifo

The medical examiner will start a death certificate to register the death. The death certificate will take a week or more to come. Many officials will ask you for a copy of death certificate. You will probably need 10 copies of the death certificate. You can read about how to order extra death certificates.

Mazishi na kuchoma maiti

Funerals and cremation

Maiti lazima iende katika chumba cha maiti ili kutayarishwa kwa ajili ya mazishi. Mazishi katika chumba cha maiti ni ghali sana. Ikiwa mwili utachomwa (kuchomwa na kupatiwa jivu), huna haja ya kulipa kwa ajili ya mazishi katika chumba cha maiti. Mtu akifa, mwili unaweza kwenda moja kwa moja kutoka hospitalini au nyumba yako hadi eneo la kuchomwa.

A dead body must go to a funeral home to be prepared for burial. Funeral homes are very expensive. If the body is to be cremated (burned with the ashes given to you), you do not need to pay for a funeral home. When someone dies, the body can go straight from the hospital or your home to a crematorium.

Huna haja ya kununua jeneza ghali (sanduku kwa ajili ya mazishi). Kuna mbao rahisi na kadibodi ambayo inafaa kwa kuchoma mwili na kwa ajili ya mazishi. Unaweza kufanya sherehe ya mazishi mwenyewe au kuchagua huduma za kidini.

You do not need to buy an expensive casket (box for burial). There are simple wooden and cardboard caskets that are suitable for cremation and for burial. You may do your own funeral ceremonies or choose a religious service.

Mambo unahitaji kufanya wakati mtu anafariki

Things you will need to do when someone dies

Mambo unayohitaji kuyafanya wakati mtu akifa:

When someone dies, it is hard to focus on what you need to do. It is good to have a list to things you will need to do soon:

 • Mwambie mwajiri
 • Pata nakala ya cheti cha kifo
 • Wasiliana idara yoyote wa serikali ambayo ilitoa faida, kama vile Hifadhi ya Jamii
 • Waambie makampuni ya bima: makampuni ya bima ya afya na maisha, gari na nyumba
 • Wasiliana na benki yoyote ambapo kulikuwa na akaunti
 • Tengeneza orodha ya bili ambayo inahitaji kulipwa na kufuta huduma yoyote (kama vile ya simu) ambayo haitumiki
 • Futa kadi ya mkopo ili malipo yasiendelee kwa ajili ya huduma na malipo mengine ya kila mwezi
 • Tell the employer
 • Get copies of the death certificate
 • Contact any government departments who gave benefits, such as Social Security
 • Tell insurance companies: health and life insurance companies, car and house insurance
 • Contact any bank where there were accounts
 • Make a list of bills that need to paid and cancel any services (such as phone) not being used
 • Cancel credit cards so payments do not continue for services and other monthly payments

Kitu unachofaa kufanya mtu akifariki Baada ya kifo kutokea: orodha (Hii ni kwa ajili ya jiji la Washington, lakini ni muhimu katika majiji yoyote ili kukusaidia kufanya orodha yako mwenyewe)

The state of Washington published a checklist of what to do after a death occurs that may be useful in any state to help you make your own list. You can also read more details about what to do after someone dies.

Je, mtu akifa katika nchi nyingine?

What if someone dies in another country?

Pengine una wanafamilia katika nchi nyingine. Mtu akifa au kufa katika nchi nyingine, unaweza kusafiri nje ya Marekani< Hii ni MUHIMU: Kuelewa hatari na sheria kuhusu usafiri wa dharura kabla ya kuondokaSoma kuhusu Huduma za Forodha na Uhamiaji (USCIS) zinasema kuhusu usafiri wa dharura

You probably have family members in other countries. When someone dies or is dying in another country, you may want to travel outside of the United States.

Ikiwa unashuku yoyote, zungumza na mtu katika Huduma za Forodha ua Uhamiaji kabla ya kuondoka.

IMPORTANT: Understand the risks and rules about emergency travel before you leave. Please read what the US Customs and Immigration Services (USCIS) says about emergency travel. If you are in any doubt, speak to someone at USCIS before you go.

Unaweza kukatazwa ikiwa huna nyaraka sahihi. Huduma za Forodha na Uhamiaji inatoa hati za aina nne za kusafiria:

You may not be allowed back in without the right documents. USCIS issues four types of travel documents:

 • Idhini kwa mhamiaji kurejea Marekani baada ya kusafiri
 • Hati ya usafiri
 • Idhini ya kuingia tena
 • Nyaraka ya mizigo
 • Advance parole
 • Refugee travel document
 • Re-entry permit
 • Carrier documentation

Jifunze zaidi

Learn more

Find help near you

Use FindHello to search for services and resources in your city.

Anza utafutizi wako

Ukurasa huu alimsaidia wewe? Uso Unaocheka Ndio Frown uso La
Asante kwa maoni yako!