Learn more about US immigration for Afghan nationals including the types of immigrant visa programs currently available. Find information on benefits and social services. Learn about important immigration benefits including family reunification, how to apply for a Green Card, and more. Find help for every status including Special Immigrant Visa (SIV), refugees, and people with humanitarian parole.
Hadhi na manufaa ya uhamiaji kwa Waafghanistani
Hadhi na manufaa ya uhamiaji kwa Waafghanistani
Afghan nationals evacuated to the USA have different immigration statuses. Understand the SIV program, parole, asylum, and other statuses. Learn if you need to take further steps to stay in the USA permanently. Also, find a helpful list of available benefits and services.
TPS Afghanistan
TPS Afghanistan
Tafuta msaada wa kisheria
Tafuta msaada wa kisheria
Ni muhimu kupata ushauri wa kisheria wakati wa kuomba mafao ya uhamiaji au ikiwa upo kizuizini. Mashirika mengi hutoa msaada wa kisheria wa bure au wa gharama nafuu na wakili wa uhamiaji au mwakilishi aliyeidhinishwa. Jifunze jinsi ya kupata msaada wa kuaminika na jinsi unavyoweza kujiwakilisha.
Jinsi ya kuomba hifadhi
Jinsi ya kuomba hifadhi
Jinsi ya kupata Green Card
Jinsi ya kupata Green Card
Kuunganisha tena familia kwa wakimbizi na wahamiaji
Kuunganisha tena familia kwa wakimbizi na wahamiaji
Wakimbizi, waomba hifadhi, na wamiliki wa SIV wa Afghan wanaweza kuomba baadhi ya wanafamilia kuunaga nao nchini Marekani. Pata maelezo zaidi kuhusu kuunganishwa tena kwa familia. Pata taarifa kuhusu mpango huu na jinsi ya kuomba.
Uhamiaji wa familia
Uhamiaji wa familia
If you are a U.S. citizen or lawful permanent resident, you can petition for some of your family members to join you in the USA. Learn about the types of family immigration visas that are available and how to apply.
USCIS fee exemptions and faster processing
USCIS fee exemptions and faster processing
Epuka ulaghai wa uhamiaji
Epuka ulaghai wa uhamiaji
Utapeli wa uhamiaji ni wa kawaida sana na unachukua sura tofauti. Lazima ujue jinsi ya kujilinda. Pata vidokezo kuhusu jinsi ya kutambua, kuepuka, na kuripoti utapeli.