Maisha nchini Marekani

Miongozo ya udereva iliyotafsiriwa kwa wageni nchini Marekani

Imerekebishwa Mei 22, 2025

Pata miongozo na taarifa za udereva zilizotafsiriwa za jinsi ya kuendesha gari nchini Marekani.

dereva mwanamke anayetabasamu akiwa na mtoto kwenye kiti cha nyuma

Kitu cha kufanya ikiwa mtu anakutishia

Imerekebishwa Oktoba 26, 2024

Inaweza kuogofya na kufikirisha pale ambapo mtu anakutishia. Ni muhimu kujua jinsi ya kushughulikia vitisho na kujilinda. Jifunze kuhusu hatua unazoweza kuchukua, jinsi ya kuripoti vitisho, na kupata msaada.

man receiving threatening text

Pata msaada wa tafsiri bila malipo nchini Marekani

Umerekebishwa Januari 26, 2024

Je, unahitaji msaada wa tafsiri au ukalimani wa Kiingereza? Fahamu kuhusu haki zako za msaada wa tafsiri wa bila malipo na jinsi ya kuiomba. Tafuta njia za kupata tafsiri za bila malipo katika lugha yako.

bendera za taifa kwenye kibodi ya kompyuta

Msaada wa unyanyasaji wa majumbani kwa wahamiaji

Imerekebishwa Oktoba 30, 2023

Ukatili wa majumbani ni suala zito. Inaweza kuwa ngumu sana kwa wahamiaji ambao wanakabiliwa na changamoto za kipekee. Elewa unyanyasaji wa majumbani ni nini. Fahamu kuhusu haki zako na jinsi ya kupata msaada.

mshauri wa ukatili wa majumbani

Elimu

Orodha kamili ya madarasa ya Kiingereza ya bila malipo ya mtandaoni na nyenzo zingine

Imerekebishwa Mei 31, 2024

Kuna njia nyingi za bure za kujifunza na kuboresha Kiingereza chako kwenye kompyuta au simu yako. Pata orodha kamili ya madarasa ya bure ya Kiingereza mtandaoni. Jifunze kile wanachotoa na mahali pa kwenda ili kuanza.

Madarasa ya Kiingereza mtandaoni kwenye kompyuta mpakato

Uhamiaji

Jinsi ya kuomba hifadhi nchini Marekani

Imerekebishwa Februari 13, 2026

Mtafuta hiifadhi ni aina ya ulinzi inayokuruhusu kubaki Marekani. Pata taarifa za mpya kuhusu kutafuta hifadhi nchini Marekani. Fahamu kama unastahiki na jinsi ya kuomba. Jua jinsi ya kujiandaa kwa ajili ya usaili.

Mabadiliko katika mpango wa wakimbizi nchini Marekani

Imerekebishwa Machi 6, 2026

Makazi mapya ya wakimbizi nchini Marekani yamebadilika. Watu wachache wanaweza kuingia kupitia mpango wa wakimbizi na baadhi ya taratibu zimesimamishwa. Ikiwa wewe ni mkimbizi nchini Marekani, katika taratibu za ng'ambo, au unatarajia kutuma maombi, ni muhimu kuelewa kinachoendelea sasa.

private sponsor reviewing documents with refugees

Marufuku ya kusafiri na sheria mpya: unachopaswa kujua

Imerekebishwa Machi 6, 2026

Pata maelezo kuhusu marufuku mpya ya usafiri, ni nani walioathirika na maana ya mabadiliko haya kwa usafiri na uhamiaji. Sheria zinatofautiana kulingana na nchi na zinaweza kuathiri uwezo wako wa kuingia au kurudi nchini Marekani. Pia kuna sheria za ziada zinazowaathiri watu walioko Marekani kutoka nchi zilizowekewa marufuku ya kusafiri.

traveler at airport

EAD ni nini? Mwongozo wa Uidhinishaji wa Kazi wa Marekani

Umerekebishwa Januari 9, 2026

Wahamiaji wengi huja Marekani kufanya kazi. Ikiwa wewe siyo raia wa Marekani, siyo mmiliki wa Green Card, au siyo muomba hifadhi, lazima uwe na Hati ya Kibali cha Ajira (EAD). Pata taarifa kuhusu jinsi ya kuomba kibali cha kufanya kazi na kihuwishe.

EAD work permit card

Jinsi ya kupata Green Card

Umerekebishwa Januari 9, 2026

Green Card, pia inajulikana kama kadi ya ukazi wa kudumu, hukuruhusu kuishi na kufanya kazi nchini Marekani kwa kudumu. Pata taarifa kuhusu njia za kupata Green Card. Fahamu kuhusu hatua za kutuma maombi na jinsi ya kujiandaa kwa ajili ya usaili wako.

test green card

Kuunganisha tena familia kwa wakimbizi na wahamiaji

Imerebishwa Desemba 19, 2025

Wakimbizi, waomba hifadhi, na wamiliki wa SIV wa Afghan wanaweza kuomba baadhi ya wanafamilia kuunaga nao nchini Marekani. Pata maelezo zaidi kuhusu kuunganishwa tena kwa familia. Pata taarifa kuhusu mpango huu na jinsi ya kuomba.

man holding child at airport

Jinsi ya kupata wakili wa uhamiaji bila malipo na msaada wa kisheria wa gharama nafuu

Imerekebishwa Julai 30, 2025

Ni muhimu kupata ushauri wa kisheria wakati wa kuomba mafao ya uhamiaji au ikiwa upo kizuizini. Mashirika mengi hutoa msaada wa kisheria wa bure au wa gharama nafuu na wakili wa uhamiaji au mwakilishi aliyeidhinishwa. Jifunze jinsi ya kupata msaada wa kuaminika na jinsi unavyoweza kujiwakilisha.

two women consult in office sitting at a table

Haki za wakimbizi na wahamiaji nchini Marekani

Imerekebishwa Machi 19, 2025

Kila mtu nchini Marekani ana haki za msingi bila kujali hadhi zao za uhamiaji. Haki ulizonazo hapa zinaweza kuwa tofauti na zile za nchi yako ya asili. Ni muhimu kujua haki zako ili uweze kujilinda wewe na familia yako.

uhamiaji ya Marekani

Vidokezo vya kuepuka utapeli na ulaghai wa uhamiaji

Imerekebishwa Mei 15, 2025

Utapeli wa uhamiaji ni jambo la kawaida sana na upo wa aina nyingi, kuanzia huduma bandia za kisheria hadi kujifanya maafisa wa serikali. Lazima ujue jinsi ya kujilinda. Pata vidokezo kuhusu jinsi ya kutambua, kuepuka, na kuripoti utapeli.

Uraia

Maswali & majibu ya mtihani wa Uraia wa Marekani

Imerekebishwa Oktoba 30, 2025

Wakati wa mahojiano yako ya uraia, utalazimika kufanya mtihani wa uraia wa Marekani. Pata orodha kamili ya maswali na majibu ya mtihani wa uraia katika lugha nyingi tofauti. Pia, kuna video zenye sauti za kukusaidia kusoma.

citizenship test question pages