Pata usaidizi ukipoteza ajira yako

Ukurasa huu ulisasishwa mwisho 5/25/2020. Kwa sasisho baada ya hiyo tarehe, tafadhali nenda kwa ukurasa wa Kiingereza

Je umepoteza kazi yako? Je huwezi kufanya kazi? Chunguza ikiwa unaweza kupata msaada wa serikali na nini unaweza kufanya ikiwa hustahili.

Je, nikipoteza kazi yangu?

Biashara nyingi zimefungwa nchini kwa ajili ya virusi vya corona. Watu wengi wamepoteza kazi zao. Watu wengine hawafanyi kazi kwa kuwa ni wagonjwa au kwa kuwa mtu wanaye mufahamu ni mgonjwa. Kuna njia kadhaa za kupata msaada na pesa ikiwa hufanyi kazi kwa sababu ya virusi vya corona.

Je, nini lingine serikali inafanya ili kusaidia?

Aina nyingine za msaada

Unaweza kupata taarifa nzuri zaidi kuhusu namna ya kupata msaada iwapo umepoteza ajira yako:

Taarifa hizi zinatoka kwenye vyanzo vya kuaminika, kama vile Idara ya Kazi na Shirika la Kodi Marekani. USAHello halitoi ushauri wa kisheria au kimatibabu, wala rasilimali zetu hazikusudiwi kuchukuliwa kama ushauri wa kisheria au kimatibabu.

Je, una maswali zaidi kuhusu namna ya kupata msaada iwapo utapoteza ajira yako? Unaweza kuuliza [email protected].